min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jan 11, 2024 #21 Bora hao omba omba wanaoweza kukupa ata vijimaneno vya kukufariji , kuliko hao wanaomba kavu kavu.
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 6,843 Reaction score 11,702 Jan 11, 2024 Thread starter #22 min -me said: Bora hao omba omba wanaoweza kukupa ata vijimaneno vya kukufariji , kuliko hao wanaomba kavu kavu. Click to expand... ila wote ni ombaomba, ndo point yangu
min -me said: Bora hao omba omba wanaoweza kukupa ata vijimaneno vya kukufariji , kuliko hao wanaomba kavu kavu. Click to expand... ila wote ni ombaomba, ndo point yangu
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Jan 11, 2024 #23 Kuna mmoja mtaani alikua hapati sadaka baada kuhubiri,ila alipoanza kuhubiri kwamba Yesu akija Duniani simu atakayotumia ni tecno akaanza kukusanya sadaka kidekede kutoka kwa sisi watumiaji wa tecno. sahivi tumempa jina la mchungaji nabii tecno.💪
Kuna mmoja mtaani alikua hapati sadaka baada kuhubiri,ila alipoanza kuhubiri kwamba Yesu akija Duniani simu atakayotumia ni tecno akaanza kukusanya sadaka kidekede kutoka kwa sisi watumiaji wa tecno. sahivi tumempa jina la mchungaji nabii tecno.💪
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jan 11, 2024 #24 Mcqueenen said: ila wote ni ombaomba, ndo point yangu Click to expand... Kabisa ,lengo ni maokoto tu.
Mcqueenen said: ila wote ni ombaomba, ndo point yangu Click to expand... Kabisa ,lengo ni maokoto tu.