Wakuu habari,
Kuna jambo nimeliwaza, kama binadamu tuna mema na madhaifu, kila mmoja wetu ana uwezo katika jambo fulani na ni dhaifu upande mwingine na hii ndiyo sababu ya kuumbwa kwa kutegemeana.
Mara nyingi kinachotushinda kwenye mahusiano na kupelekea kuitana majina mabouvu ya fedhea ni pale tunapopishana na kushindwa kutathmini mazuri yote wakati tukiwa pamoja.
Mahusiano yote yenye afya lazima migogoro au kupishana kuwepo, kwani kila mtu kaumbwa kivyake na nafsi tofauti.
Tunapoamua kuingia kwenye mahusiano tuwe tayari kutengeneza 'repair' pindi tunapopishana la sivyo tutaishi kusema 'yule mwanaume ni mbwa, wanaume wote ni mbwa' au 'yule demu ni kausha damu'. kumbe mwanzo hatukusomana kujua intrest za kila mmoja wetu.
Una date mwanamke classic level za ustaa akikwambia kapungukiwa Milioni moja unshtuka, wakati mwenyewe hukusoma nyakati mapema
Unadate mkaka anaonekana kabia play boy, mlamba lips, mweupe mrefu na six packs, usanii mwingi na anashobokewa, ukitemwa unapiga yoweee 'Wanaume wote Mbwa'
Tujaribu kubashiri odds kwa akili