Tukujikumbushe Wachezaji wa Simba kabla ya MO

Alexander Lukashenko

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
4,140
Reaction score
9,667
Simba ilikuwepo kabla ya MO na itaendelea kuwepo baada ya MO, lakini si vibaya tukajimbusha wachezaji waliokuwepo ndani ya simba ambao walikuja kwa mbwembwe lakini ukweli ni kuwa tuliwakusanya kwa kuwa hatukuwa na pesa.

Pierre kwizera_Rwanda
Paul kiongera_Kenya
Lino Musombo_Congo
Daniel Akkufor_Ghana
Pape Ndaw_ Senegal ( sina uhakika sana hapa).
Gervas kago_ Central Africa.

Tujikumbushe wachezaji wengine, waliopita na kuondoka, kipindi cha njaa pale simba.
 
Mo ni Tapeli ,Vibiriti vyake ni vya hovyo ,ukiweka sehemu yenye hewa kesho yake unakuta vibichi na haviwezi kufanya ignition ila anadanganya watu kuweka njiti kwenye maji na kufanya ignition...Mo ni Muongo na tapeli.
 
Dan serunkuma
 
Wakati tunacheza fainali 1993 huyo mtu wenu alikuwepo?
 
Kiongozi umesahau kumtaja Danny Serrunkuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…