Tukumbuke: Komredi Polepole ameweka rekodi ya kuipa CCM Ushindi wa 84% kwa Rais wa JMT na 98% kwa Wabunge wa Kuchaguliwa 2020!

Kumvumilia muuaji ni dhambi kubwa sana.
 
Kwa Tume ipi ya Uchaguzi?
Siyo Polepole! Ni Magufuri
 
Wapiga kura ni Wanawake na Wazee

Makala atawamudu vizuri tu

Vijana Wengi hawapigi kura na wale wachache wanaopiga wanapenda Swaga za Chadema
 
Wapiga kura ni Wanawake na Wazee

Makala atawamudu vizuri tu

Vijana Wengi hawapigi kura na wale wachache wanaopiga wanapenda Swaga za Chadema
Sio kweli angalia uchaguzi wa 2015 ulivyosumbua Chadema nusura ichukue nchi sababu ili mobilise vijana na vijana walipigia sana Chadema sababu walikiona ndio chama Chao

CCM vijana kushindwa kujitokeza sababu mojawapo ni kujaza vizee vikongwe vya kike na kiume nafasi zote kugombea ndio maana huzira kuwa nendeni mkapigiane kura vikongwe kwa vikongwe wenyewe ndio maana vizee ndio hufurika kupigia kura vizee vyenzao

Makonda alianza kubadili upepo vijana wawe kundi active ndani ya CCM alitakiwa aachwe halafu 2025 vijana wengi wangejitokeza kugombea na Chama kwa kuona move wangeidhinisha vijana wengi kuwa wagombea na hilo lingepelekea vijana wengi kuhamasika kwenda kupiga kura kupigia vijana wenzao.

Kuweka Makalla mwenezi sio rahisi kuweza kupenya hisia za vijana.Yuko too official tofauti na Makonda
 
Hata Makonda ushawishi wake ni kwa Wazee na akina mama siyo vijana kwa Sababu vijana wa CCM Wana Fikra za Kizee

Vijana halisi wako Chadema kutokana na kile chama kilivyosukwa na Freeman

Kidogo Lowasa alikuwa na ushawishi kwa vijana kwa Sababu ya Fikra zake za Kibepari
 
Hizo sifa ungewapa watumishi wa umma(walimu,watendaji,polisi and their auxiliaries,TISS & other abracadabras and cadavas) ningekuelewa.
 
Si kweli video za mikutano yake makonda akiwa mwenexi zimo YouTube mwenye macho haambiwi tazama
Bwashee kwenye siasa za Kisasa duniani Ujana ni Fikra siyo namba ya miaka uliyoishi duniani

Ndio Sababu vijana wa US wanamwita Trump ni mwenzao

Mrisho Gambo: Vijana wa UVCCM wakizeeka wanakuwa Wachawi
 
Hao Wote walitenda kwa Imani waliyokuwa nayo kwa Komredi Polepole πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu kwenye kikokotoo wanawaminya?Hivi pale bungeni/Rais anajua watumishi ndiyo walifanya wawe pale na ndiyo watimiza sera zao leo hii hata wakiukataa ukweli?
 
Baada ya kuingia madarakani mkiwa wenyewe tu, kipi mnachojivunia kwenye utawala wenu huu?
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimekufautilia Leo umeposti UJINGA umetumia makalio kufikiri.Leo umeingia kwenye Kundi la WANASIASA MALAYA.
 
Aliipa au walipora uchaguzi na dhalimu magu.
 
Basi muite Humphrey πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ Tatizo la Humphrey hata haijulikani kazaliwa Mzee au Kijana, maana tokea mimi namjua ana sura yake ya uzee tu na nywele hana, all my years sijajua ni species gani, maana mimi ni rafiki yangu ila siwezi muambia face to face, ni mzee au kijana sijui, namuona hivyo alivyo, so hata hilo jina hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…