WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Umeona eh.Sitadhubutu kamwe kumuita mtoto wangu au kumshauri rafiki yangu amuite mtoto wake John..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eh.Sitadhubutu kamwe kumuita mtoto wangu au kumshauri rafiki yangu amuite mtoto wake John..!!
Dah!CCM wenzangu wamenielewa vizuri
Ushindi haunaga Mjadala 😄
Kumvumilia muuaji ni dhambi kubwa sana.Makonda ana mapungufu yake kama binadamu lakini alikuwa na uwezo mkubwa wa kuifanya CCM ishinde kwa kishindo 2025
Chama kiliamka kwa nguvu hasa .Tatizo wazee wanaojiona bado wako relevant kwenye generation ya sasa wanakosa kumvumilia kwa vitu vidogo vidogo ambavyo ni immaterial ndio maana wamerudisha vikongwe Makala na Nchimbi washike chama
Chama kinaingia generation mpya sio ile ya wazee akina Nchimbi na Makalla .Makonda ndie alikuwa anaonyesha kuiweza hii generation ya sasa kwenye amsha amsha ya chama.Hawa wazee wawili Nchimbi na Makalla kwa kweli hizo nafasi wanapwaya kama huyo mwenezi Makalla ndio kabisaaaaaaa hamna kitu
Wapiga kura ni Wanawake na WazeeRipoti ya sensa ya watu inaonyesha asilimia kubwa inayoongoza kwa wingi Tanzania ni vijana sio wazee .Uenezi unahitaji mtu anayeweza kwendana na ujana wao na mambo yao ya ujana .Vijana wana vituko wazee hawana .Makonda alikuwa anawawezea akifanya vituko wanafurahi na wanamsubiri kwa hamu na mikutano inafurika watu wengi vijana hadi basi.Na misafara yake vijana wanakuwa naye kwa wingi wakimsindikiza kapanda panda nk Hizo sarakasi hawa wazee hawawezi Makala na uzee wake ule aweza panda hata huyo punda?
Vituko vya kuvutia vijana ambao ndio wengi na wanavikubali kwa sasa yeye hawezi .
Yuko misplaced.Mwenezi lazima awe kijana sio kikongwe ili afikie generation yake
Makonda alikuwa chaguo sahihi la Mama Samia tena sahihi sana kwa ile nafasi ya uenezi na ingeipa kazi ndogo sana CCM kampeni 2025
Kwa sababu nimekukumbusha Kingunge 😂😂We naye...
Nshakudharau.....
Shule ndio inapiga kura?🐼Dah!
Nna mashaka ht na shule yako
Sio kweli angalia uchaguzi wa 2015 ulivyosumbua Chadema nusura ichukue nchi sababu ili mobilise vijana na vijana walipigia sana Chadema sababu walikiona ndio chama ChaoWapiga kura ni Wanawake na Wazee
Makala atawamudu vizuri tu
Vijana Wengi hawapigi kura na wale wachache wanaopiga wanapenda Swaga za Chadema
Hata Makonda ushawishi wake ni kwa Wazee na akina mama siyo vijana kwa Sababu vijana wa CCM Wana Fikra za KizeeSio kweli angalia uchaguzi wa 2015 ulivyosumbua Chadema nusura ichukue nchi sababu ili mobilise vijana na vijana walipigia sana Chadema sababu walikiona ndio chama Chao
CCM vijana kushindwa kujitokeza sababu mojawapo ni kujaza vizee vikongwe vya kike na kiume nafasi zote kugombea ndio maana huzira kuwa nendeni mkapigiane kura vikongwe kwa vikongwe wenyewe ndio maana vizee ndio hufurika kupigia kura vizee vyenzao
Makonda alianza kubadili upepo vijana wawe kundi active ndani ya CCM alitakiwa aachwe halafu 2025 vijana wengi wangejitokeza kugombea na Chama kwa kuona move wangeidhinisha vijana wengi kuwa wagombea na hilo lingepelekea vijana wengi kuhamasika kwenda kupiga kura kupigia vijana wenzao.
Kuweka Makalla mwenezi sio rahisi kuweza kupenya hisia za vijana.Yuko too official tofauti na Makonda
Hizo sifa ungewapa watumishi wa umma(walimu,watendaji,polisi and their auxiliaries,TISS & other abracadabras and cadavas) ningekuelewa.Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana 😄😄
Si kweli video za mikutano yake makonda akiwa mwenexi zimo YouTube mwenye macho haambiwi tazamaHata Makonda ushawishi wake ni kwa Wazee na akina mama siyo vijana kwa Sababu vijana wa CCM Wana Fikra za Kizee
Bwashee kwenye siasa za Kisasa duniani Ujana ni Fikra siyo namba ya miaka uliyoishi dunianiSi kweli video za mikutano yake makonda akiwa mwenexi zimo YouTube mwenye macho haambiwi tazama
Hao Wote walitenda kwa Imani waliyokuwa nayo kwa Komredi Polepole 😂😂Hizo sifa ungewapa watumishi wa umma(walimu,watendaji,polisi and their auxiliaries,TISS & other abracadabras and cadavas) ningekuelewa.
Halafu kwenye kikokotoo wanawaminya?Hivi pale bungeni/Rais anajua watumishi ndiyo walifanya wawe pale na ndiyo watimiza sera zao leo hii hata wakiukataa ukweli?Hao Wote walitenda kwa Imani waliyokuwa nayo kwa Komredi Polepole 😂😂
Baada ya kuingia madarakani mkiwa wenyewe tu, kipi mnachojivunia kwenye utawala wenu huu?Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana 😄😄
Kwa mara ya kwanza tangu nimekufautilia Leo umeposti UJINGA umetumia makalio kufikiri.Leo umeingia kwenye Kundi la WANASIASA MALAYA.Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana 😄😄
Aliipa au walipora uchaguzi na dhalimu magu.Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze
Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa
Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025
Ahsanteni Sana 😄😄
NEC 🐼Aliipa au walipora uchaguzi na dhalimu magu.
Nchi hii hakuna NEC, bali Kuna madaraka ya rais.NEC 🐼
😂😂 Tatizo la Humphrey hata haijulikani kazaliwa Mzee au Kijana, maana tokea mimi namjua ana sura yake ya uzee tu na nywele hana, all my years sijajua ni species gani, maana mimi ni rafiki yangu ila siwezi muambia face to face, ni mzee au kijana sijui, namuona hivyo alivyo, so hata hilo jina hapanaBasi muite Humphrey 😂😂