Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka



RUBA: Mwalimu wa History O'level katika Sekondari ya Mara aliyepewa hilo jina alipokuwa akifundisha topic ya RUBALUNDA KINGDOM,ndipo wanafunzi wake wakampa jina hilo la RUBA.

COMMUNALISM: Mwalimu wa Civics F1 aliyepewa jina hilo kutokana na kufundisha kwake somo la Civics hasa topic ya COMMUNALISM. Hizi zilikuwa ni enzi zile somo la Siasa lilipobadilishwa na kuitwa Civcs. Mwalimu huyo alikuwa amezoea kufundisha siasa kwa Kiswahili...alipata shida sana kufundisha kwa Kiingereza.
 
{bihokwa}=mwalimu wangu wa history f1,2 and 3 huyu alipenda sana kutumia kilugha cha {"BIHOOKWA'} ili atuchekeshe.

{"tozi"}=huyu alikuwa mwalimu wangu machachali kijana aliyekuwa katoka chuo kwa wanafunzi wenye mabavu alitaka kupigananao bila fimbo hasa f3 4,5,na 6

{"twanga njiti"} kwa walio soma Mubuka sec. kuanzia 2002-6 kamwe hawatamsahau alikuwa kweli katili mno haaangalii huyu ni f1 au 3 ama f4 yeye ni kutwanga njiti nakumbuka cku yake ya mwisho kufundisha Mubuka sec ni pale alipo mtwanga jiti kijana yapata fimbo 25 bila kupumzika kijana akakatika uti wa mgongo na kuzimia papo hapo

Baba yake kijana akiwa mtumishi fulani wa halmashauri ya (W)muleba kupigiwa cm ghafla akaja pamoja na difender ya jeshi la police na kuondoka naye .
Hata walimu wenzake wali kuwa wanamuogopa akijidai yeye kapita jeshi na "seminali"kwa hiyo hababaishi na mdudu hapo anasema walimu wenzake.nilisha "tandika" masister mimi alisikika akisema mara kwa mara shuleni.
 
Yesorno: Mwalimu wangu wa English Ifakara sec early 90', (Kiyora) ilikuwa hamalizi sentence bila kusema "yes or No" alikuwa ni teacher mmoja mzuri sana wa kiingereza, but R.I.P
 
Teacher Msawa...yan alikua hafundish bila kusema "yan ni kwamba"
...yan asubuhi tu kwapa limeloa tayar...
 
Mwalimu gusi, alikuwa ni mwalimu wa commerce katika shule ya sekondari Dr Salmini Amour....
Hilo jina alipewa kwasababu alikuwa hawezi kutamka neno goods, anasema gusi
 
Enzi hizo nipo NJOSS kuna Mwl. tulikuwa tunamwita RAMBO ni marehemu sasa. Toka naingia form one hadi form four sijawahi muona akicheka wala kutabasamu. RIP Mwl. Rambo
 
Enzi hizo nipo NJOSS kuna Mwl. tulikuwa tunamwita RAMBO ni marehemu sasa. Toka naingia form one hadi form four sijawahi muona akicheka wala kutabasamu. RIP Mwl. Rambo

Umenikumbusha mbali Rambo. pia tulikuwa na mkuu wa shule Mwanyigu sisi tulikuwa tukimwita Kichuma kutokana na staili yake ya kuchapa viboko kwa kichuma mboga. Pia Njoss alikuwepo mwalimu Tyson.
 
Umenikumbusha mbali Rambo. pia tulikuwa na mkuu wa shule Mwanyigu sisi tulikuwa tukimwita Kichuma kutokana na staili yake ya kuchapa viboko kwa kichuma mboga. Pia Njoss alikuwepo mwalimu Tyson.

Mwl. Tyson nae ni Marehemu hivi sasa.
 

PALAWA Mwalim wa Physics Mwandiga Sec Kigoma Alikua Akifundisha Motion Neno Per/hour Anaita Palawa Akapewa Jina Palawa. Alikua Mlev Saaaana.
CHINUA ACHEBE Alikua Mwalm Wa English Anafundsha Vtabu.
CHUNGU Mwalim Wa Hesabu Alikua Mweusiii Akapewa Jina Chungu.
 
Halafu haya majina wkt mwingine husababisha hadi mwanafunzi unakuwa humfahamu mwalimu jina lake halisi...Kila anayekuuliza unamtajia jina hili hujui jina la mwalimu la kweli..




 
Umenikumbusha mbali Rambo. pia tulikuwa na mkuu wa shule Mwanyigu sisi tulikuwa tukimwita Kichuma kutokana na staili yake ya kuchapa viboko kwa kichuma mboga. Pia Njoss alikuwepo mwalimu Tyson.

Mimi pale Njoss ninamkumbuka KIBEGI alikuwa na kibyongo ila akicha fimbo lazima ugune
 
Halafu haya majina wkt mwingine husababisha hadi mwanafunzi unakuwa humfahamu mwalimu jina lake halisi...Kila anayekuuliza unamtajia jina hili hujui jina la mwalimu la kweli..

Dah Kuni....kisa aliagiza kuni
 
Haya majina mengine yalirithishwa kizazi na kizazi wengine adi tunamaliza hatukujua sababu yake kama wapo wanaowajua
Manftissa: mwalimu mwanamama alifundisha hesabu akifafanua vema hesabu za mantisa
Urage: huyu alikuwa mwanaume sijui maana ya jina
Mzuzu; mwanamke alikuwaga na vindevu
 
Ilboru tulikuwa na BINO early 80s
 
ISNT IT, mwl wa kemia f2 alikuwa kila baada ya sentens anasema isnt it ndo likawa jina lake.
NTAKULIMA, Alikuwa akikukuta na kosa anakuambia ntakulima bakora.
KISIKIO. Sikio lake moja lilikuwa kama limekatwa

Ilo jina la isnt it? Huyu ni Lecturer wa DS..kwa tuliosoma mlimani..Kidwanga
 
aha haaa,umenikumbusha mbali,cjui yupo wapi huyu mzee cku hizi,aliwahi kunityt,kisa nimeingia dini darasa la wahindi,palikuwa hapatoshi,alichukua madaftari yangu akakaa nayo karibu siku nzima!daaah

Mwlm Magadula ni marehem tangu 2007, hakuumwa alikufa usingzini.....
 
Hitler ni mwl. wa kiswahili, yeye hana cha salia mtume ukiingia anga zake. Madenge ni mwl. wa kemia copyright na madenge kichwa. Mapuuza saiv nackia ni recturer MUST. Bob Marley displini masta. Tani 7 ni mwl. wa kemia, ukiingia kwenye anga zake anakuchapa non stop mpaka ukimbie mwenyewe au kiboko kiishe. Waniwandred mwl. wa capentry, hajui kutamka one hundred... WanaBulima 90s mnamakumbuka hawa walimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…