kichwa kubwa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 268
- 214
kondoo:huyu alikua anatutisha eti "mm ni kondoo dume nimerudi nyuma jiandaeni nikienda mbele navunja tu"
hahahaa atatu'pruni'
hahahaa atatu'pruni'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
(Kangaba)=mwalimu wangu wa history form 2 kibaha sec,alipenda sana kuiongelea historia ya falme ya kangaba.(Abacha)=mwalimu wa nidhamu kibaha secondary.(Marlboro)=Mwalimu wangu wa jiografia,alipenda kuvaa kofia aina ya pama na muda wote alikuwa na sigara mdomoni.
Huyu ni mwl Kiluswa kwa sasa ni marehemu RIP.Jesus, mwalimu wa saint anthonys mrefu anapiga stiki balaa.
Kagashe ni noma.umenikumbusha mbali sana huyu ticha alishanipiga fimbo mpaka nkajikuta nauliza hiki nini, kunamwingine anaitwa kagashe naye ni noma.
4. Chonya of Chilonwa.Nakumbuka baadhi ya majina ya walimu waliyopewa na wanafunzi kama ifuatavyo:
1. Solar system - mwalimu wa geograph form 1 au 2 alifundisha solar system akapatiwa jina hapohapo
2. Bambabay - mwalimu wa commerce form 3 alikua akielezea transport system,akaitaja bambabay ndio ikawa jina lake.
3.magazijuto - mwalimu wa hisabati darasa la saba alifundisha magazijuto na yeye ndio ikawa jina lake la utani au aka
4. Chonya of chilimwa - mwalimu wa kiswahili secondary alisoma habari za chonya of chilomwa akawa ndio jina lake
tupeni majina zaidi