Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

(Kangaba)=mwalimu wangu wa history form 2 kibaha sec,alipenda sana kuiongelea historia ya falme ya kangaba.(Abacha)=mwalimu wa nidhamu kibaha secondary.(Marlboro)=Mwalimu wangu wa jiografia,alipenda kuvaa kofia aina ya pama na muda wote alikuwa na sigara mdomoni.

Wewe lazma tunajuana. Kachingwe katika ubora wake.
 
Mwalimu Chiteme chimumunye ! [emoji2]
Mwalimu "gharika"
Mwalimu "equals to wati"
 
1. Lamda (Mwalimu wa physics, alikua mrefu balaa)
2. Froggy ( madam alikua mnene kiasi kwamba shingo haionekani, anafanana na chura, hence froggy)
3. Samsing ( huyu alikua hawezi kutamka neno "something")
4. Akaba ( Mwalimu wa Arabic, alikua anapenda kurudia rudia story ya Aqaba enzi za mtume- waislam wanaelewa)
5. Natural gas ( huyu Mwanaume alikua na tako kubwa hakuna mfano, zaidi ya DAB [emoji3][emoji3][emoji3])
6. Sloppy (huyu alikua na chogo flani Luna slope greater that 45°) wanafunzi bwana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
7. Pastor (huyu mama alikua anapenda sana injili.. Hata akiwa anakuchapa lazima atie neno la bwana)
8. Zwangendaba ( huyu alitufindisha history of south Africa, alimsifia sana zwangendaba na dingiswayo)
 
Comfortable (huyu alikuwa mwalimu wa physics kiomoni sec alikuwa anapenda kutamka comfortable kila anapofundisha)
assumed mean (huyu mwl ya math alitufundisha statistics basi kila akifundisha lazima akumbushie assumed mean)
 
Nakumbuka baadhi ya majina ya walimu waliyopewa na wanafunzi kama ifuatavyo:

1. Solar system - mwalimu wa geograph form 1 au 2 alifundisha solar system akapatiwa jina hapohapo

2. Bambabay - mwalimu wa commerce form 3 alikua akielezea transport system,akaitaja bambabay ndio ikawa jina lake.

3.magazijuto - mwalimu wa hisabati darasa la saba alifundisha magazijuto na yeye ndio ikawa jina lake la utani au aka

4. Chonya of chilimwa - mwalimu wa kiswahili secondary alisoma habari za chonya of chilomwa akawa ndio jina lake

tupeni majina zaidi
4. Chonya of Chilonwa.
 
Adidas- shule zote wilaya nzima zina mjua kwa upigaji fimbo wake... Stiki moja atakayo itua kwenye mwili wako ni ulemavu wa mwezi utakua una uguza nyumbani...
 
mchelemchele mwalimu alikuwa na kama za kike tukamtunga jina hill

USO was mbuzi ticha kucheka kwake ilikuwa sherehe
 
Back
Top Bottom