Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

Jaribosi mwalimu wa kiswahili usagara usiombe akukute unamwita hivyo
 
Kwa wale wa Buluba High School, 1999 mnamkumbuka BUNDI LA NDALA?
 
KIKULACHO, mwalimu wa Chemistry alikua ana miwani kuuubwa kama yule jamaa wa kwenye wimbo wa Kikulacho wa Mr.Nice
 
Komba-kipatiko
Mwamfupe-unyamaunyama
Mgalula-kifutu
Yunus-popobawa
Luta-locomotive
Mazengo compex enzi hizo
 
Komba-kipatiko
Mwamfupe-unyamaunyama
Mgalula-kifutu
Yunus-popobawa
Luta-locomotive
Mazengo compex enzi hizo


Mwalimu YESHI, alikuwa mwalimu wa kiingereza alipenda kusema "Yes" lakini alitamka "YESHI"
 
Babu Bachu-Alikuwa ni mwalimu wangu Biology jina lilikuwa ni Bachuta.
 
Kwa wale wa Majengo p/s kulikuwa na Mwl sasa basi.Akifundisha utasikia sasa basi eheee wakoloni wakavamia nchi yetu eheee sasa basi tukafanyishwa kazi kwa niaba ya uchumi wa kikoloni.
 
Mwalimu Domain, alikuwa anafundisha hesabu na alophamia shuleni kwetu topic aliyoanza nayo ni ya mambo ya domain na range. Kwa hiyo kila dakika utamsikia akiuliza what is the domain?
Kama na fahamu hivi shule uliyo soma
 
Abatonga kibasila nasikia amefariki ni history alikua akifundisha na jitegemee advance
 
Bado yupo? na yule mzee mwenye kitambi kikubwa sana anafundisha GS.
 
Ilboru 1990's hadi 2000 mwanzoni...
Machakura...mwalimu Mkurya aliyekuwa hawezi kusema "mabaki ya chakula", ye anaita machakura
Chifu...mwalimu Mmasai aliyekuwa akicharaza fimbo kinyama huku kila mwanafunzi yeye akipenda kuwaita "chifu"
Michael Jackson...Madam mahiri mwalimu wa English aliyependa kuvaa miwani na kuweka nywele "curl" kipindi hicho
Mzulu...second master mmoja mrefu aliyependa kusumbuana sana na wanafunzi enzi hizo, mmoja wao Lazaro Nyalandu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…