Tulkuwa na mwalimu mmoja mmasai ila anachapa kichizi mnoNakumbuka baadhi ya majina ya walimu waliyopewa na wanafunzi kama ifuatavyo:
1. Solar system - mwalimu wa geograph form 1 au 2 alifundisha solar system akapatiwa jina hapohapo
2. Bambabay - mwalimu wa commerce form 3 alikua akielezea transport system,akaitaja bambabay ndio ikawa jina lake.
3.Magazijuto - mwalimu wa hisabati darasa la saba alifundisha magazijuto na yeye ndio ikawa jina lake la utani au aka
4. Chonya of chilimwa - mwalimu wa kiswahili secondary alisoma habari za chonya of chilomwa akawa ndio jina lake
tupeni majina zaidi
Katumbo jeki- alikuwa sir wa geography,
sawa tosa boyFiudo-mwalimu anyefundisha Civics, pat ya modes of production (Feudalism)
Exotic-Mwalimu aliyepewa jina baada ya kufundisha exotic breeds of livestock
Dea kumbe umesoma Ngamia hongera.Maspeed-ticha mmoja wa jangwani.(alikuwa anatembea Kama kawekwa mota)
Kin'gora-ticha mmoja mkuu wa department ya chemistry pale jangwani..(alikuwa anapenda kupiga kelele hasa kwenye uongeaji )
Chai jaba- ticha wa shule ya msingi(alifanana na wale watu wa tangazo la chai jaba)
My mkavu-ticha wa shule ya msingi (alikuwa mwembamba Sana Yani Hadi mifupa inaonekana na alikuwa mropokaji hatari)
Kiwembe- ticha mmoja department ya Geography pale jangwani.(sketi isimpitie ametongoza)
Kuwa kwamba-ticha was kiswahili kuanzia latano Hadi la Saba..shule msingi( alikuwa anapenda Sana kauli ya kuwa kwamba kwenye topic moja ya kiswahili)
Ahsante dearDea kumbe umesoma Ngamia hongera.
Miaka ipi dea lolAhsante dear
2004-2007Miaka ipi dea lol
Uwiiiiiiih dada angu alikuwa Zanaki 2003 - 2006.2004-2007
Oooh...sawa.Uwiiiiiiih dada angu alikuwa Zanaki 2003 - 2006.
Shule gani hii?Sedentary- Mwalim wa jographia f2