Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

PROTII dingi mmoja matata sana moshi dc, mkuda. the late,
 
Nakumbuka baadhi ya majina ya walimu waliyopewa na wanafunzi kama ifuatavyo:

1. Solar system - mwalimu wa geograph form 1 au 2 alifundisha solar system akapatiwa jina hapohapo

2. Bambabay - mwalimu wa commerce form 3 alikua akielezea transport system,akaitaja bambabay ndio ikawa jina lake.

3.Magazijuto - mwalimu wa hisabati darasa la saba alifundisha magazijuto na yeye ndio ikawa jina lake la utani au aka

4. Chonya of chilimwa - mwalimu wa kiswahili secondary alisoma habari za chonya of chilomwa akawa ndio jina lake

tupeni majina zaidi
Tulkuwa na mwalimu mmoja mmasai ila anachapa kichizi mno
Tukamwita "MASLESHA"
 
Mwalimu Ikweta- tulimuita mwalimu wa maarifa ya Jamii darasa la saba
 
Ghaddaf - mwalimu mkuu primary alikuwa mkali zaidi ya gaidi.
 
Trekta- Mwalimu wangu wa la pili, tulimtania hivyo kwa sababu alikuwa anavuta sana sigara, anatoa moshi mwingi kama trekta

Mwakilishi- Mwalimu wangu wa la 4, alikuwa anatusomea Imla, neno Mwakilishi akawa analirudia sana, tukamtania hivyo.

Sumaku- Mwl Mkuu wangu wa Primary, alikuwa anasisitiza sana kuchomekea, akikukuta hujachomekea anakunasa na kukuadhibu, tukamtania Sumaku.

Blaablaa- Mwl wangu wa Physics form one, alikuwa anaifundisha hovyo hovyo akataniwa hivyo.

Syntax- Mwl wa Advance, alikuwa anaifundisha vizuri sana hiyo topic, akataniwa hivyo
 
Maspeed-ticha mmoja wa jangwani.(alikuwa anatembea Kama kawekwa mota)

Kin'gora-ticha mmoja mkuu wa department ya chemistry pale jangwani..(alikuwa anapenda kupiga kelele hasa kwenye uongeaji )

Chai jaba- ticha wa shule ya msingi(alifanana na wale watu wa tangazo la chai jaba)

My mkavu-ticha wa shule ya msingi (alikuwa mwembamba Sana Yani Hadi mifupa inaonekana na alikuwa mropokaji hatari)

Kiwembe- ticha mmoja department ya Geography pale jangwani.(sketi isimpitie ametongoza)

Kuwa kwamba-ticha was kiswahili kuanzia latano Hadi la Saba..shule msingi( alikuwa anapenda Sana kauli ya kuwa kwamba kwenye topic moja ya kiswahili)
 
Dea kumbe umesoma Ngamia hongera.
 
Mwalimu inne: mwalimu Wa hisabati darasa la Saba alikuwa hawezi kusema nne msukuma Yule
Nalog off
 
Mchele mchele mwalimu wa nidhamu jeshini, JKT alipenda suruali hizi wakati zilishapitwa na wakati! Mnooko akikukamata umejongo anakupiga na li bakola fulani hivi kubwaa
 
Back
Top Bottom