Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

wakuu, nani anafahamu [kiundani] kuhusu uhaini wa aliyewahi kuwa the first chief of defence forces, general mrisho sam hagai sarakikya...? Niliwahi kusimuliwa zamani kuwa huyu jamaa alipanga kuipindua nchi/ua nyerere enzi hizo[lugalo], na kwamba mtu pekee aliyeokoa hayo mapinduzi alikuwa ni general david musuguri. Je, ni kweli? Aliye na picha ya sarakikya, please, do me a favor, tuwekee hiyo pic hapa...


wazee sarakikya na wenzanke waliondolewa jeshini kwa majuingu...........baada ya maasi ya mwaka 1964....sarakikya alipewa ubrigedia na ukuu wa majeshi ..kilichotokea baada ya hapo kulianza kutokea chuki baina ya askari wasomi .....na maafisa ambao hawakuwa na formal education....enzi hizo maafisa wenye degree walikuwa wanafika kumi....maneno yalipelekwa kwa mwalimu na maafisa wengine kuwa hawa wasomi wakiongozwa na sarakikya ,walikuwa wanapanga mapinduzi................na hicho ndicho kisa cha wasomi kama ....sarakikya,KAVANA,nyarenda,mushi,chuwa,na wengine the like waliondolewa jeshini kwa pamoja na kusambazwa kwenye mashirika ya umma..au kwenye kazi za kitaaluma walizosomea.......

Baadaye sarakikya alikuja kukumbukwa na mkapa ...nadhani alikuta records...kuwa aliondolewa jeshini kienyeji na alikuwa hajaagwa rasmi ..na kupewa mafao..so wakati wa miaka 40 ya jeshi ..alimsurprise kwa kumvika ujenerali .....na kuagiza aagwe rasmi kijeshi...na kupewa mafao stahili...you can t imagine that day sarakikya hakuamini na alitokwa machozi.......that was another side of nyerere of course and his haters......

Hata juzi nyirenda alipokuwa anaumwa walimuadress kama brigedia general.....nikawa najiuliza walimpa lini......maana treatment aliyokuwa akipewa haikuwa na hadhi ya bregadia general..ambao matibabu yao huwa handled na jeshi hata kama wamestaafu...kwani to the surprise of many nyirenda aliuugulia pale ...heart inst...kwa gharama za familia..hadi waandishi walipohoji stahili zake..ndipo serikali ikajipeleka kumuahamishia muhimbili..then india........he was supposed to be at the first grade millitary ward at lugalo ..before taken to india ..in first.......

BAADA ya hapo jeshi lilianza kuongozwa na wakuu wenye elimu za kijeshi zaidi ya za kiraia....twalipo,musuguri,kiaro....hadi alipoingia mboma ..ambaye alianza kurudisha rika la wakuu wasomi waliomfuatia ...kama waitara,na mwamunyange.....siku hizi hizia ya jeshi kuongozwa na wakuu wenye elimu ndogo ya kiraia ..imekwisha ...kwani hata front runners wengi wa U CDF au majenerali wengi kuanzia nyota moja hadi mbili ni graduates....

Nadhani wanaojua ili sakata la hawa wasomi wa mwanzo jeshini watakuja weka mambo sawa.....
 
Tunapotokea

tanzset.jpg


tanzania-1.JPG


Tulipo

tanzania-35.JPG
 
Gustanza,
Ninachofahamu mimi, kwa mujibu wa sources zilizokuwa karibu na Mwalimu wakati huo, ni kwamba njama za Sarakikya hazikugunduliwa na Musuguri, bali maafisa wa usalama wa taifa. Mwalimu aliarifiwa na akamwita Sarakikya nyumbani kwake pale Msasani. Alimwonyesha kile kiti alichokuwa amekikalia na kumwambia kuwa kama anataka hicho kiti basi awaombe raia wa Tanzania waliomkabidhi Mwalimu na si kutumia njama zitakazoleta umwagaji damu nchini. Baaada ya hapo Sarakikya aliondolewa jeshini na kupewa kazi ya ubalozi nchi ya nje.

Jasusi,

Nilivyosimuliwa mie ni kuwa njama za Sarakikya zilikuwa zinahusisha zaidi makapteni na maluteni wasomi wa Kimeru. Mtu kama Musuguri ambaye hakuwa msomi na aliyekuwa kabila moja na Nyerere hakuzielewa kabisa. Afisa wa juu pekee aliyezipata habari za njama hizo alikuwa ni Luteni Kanali Abdallah Twalipo ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera; nadhani alihusishwa kwa vile mkoa wa Kagarea ulikuwa muhimu sana strategically kutokana na uhusiano wetu na Uganda wakati huo. Njama hizi zilikuwa zinajulikana vizuri na vijana mashushu wa Nyerere lakini walikuwa hawajazithibitisha kikamilifu kwa vile hakukuwa na ushahidi wa kutohsa kuonyesha kuwa Sarakikya naye alikuwa amehusika hadi pale ziliipokujaibuliwa na Luteni Kanali Twalipo. Baada ya njama kuibuliwa kikamilifu, Nyerere alipangua jeshi lote na kulivunja katika Brigade tano. Akampandisha Lt Col Twalipo kuwa Major General na Mkuu Mpya wa Majeshi, Akawapandisha vyeo Maluteni Kanali Mayunga, Marwa, Msuguri, Walden na Yusufu Himid kuwa mabrigedia na kuwapa command za Brigedi mpya zilizokuwa zimeundwa. Vile vile akampandisha cheo Lt. Col. Kiwelu kuwa Brigedia na Mkuu wa Nidhamu na Utawala jeshini.

Baada ya kuunda jeshi upya, kabla hajatangaza mabadiliko hayo, Mzee Nyerere alikwenda Butiama ambako ndiko alikomwita General Sarakikya amfuate huko huko. Wakiwa Butiama, Nyerere akamwuliza Sarakikya jambo lililokuwa linamkera hadi atake kuleta vurugu na kumwaga damu za Watazania bure. Swali hilo lilimfanya Sarakikya akose pumzi na kushindwa kujibu. General alilowa mwili mzima kwa jasho asijue la kufanya; akaomba samahani sana. Baada ya kikao kile, Mwalimu akarudi Dar es Salaama ambako jioni ile alitangaza mabadiliko ya muundo wa Jeshi, ambapo Sarakikya alitolewa kabisa jeshini na kufanywa Waziri wa Wizara mpya ya Vijana na Michezo. Wafuasi wake wengi wale maluteni na makateni wasomi waliswekwa ndani kwa haraka sana na wengine hawajulikani waliishhia wapi.
 


wazee sarakikya na wenzanke waliondolewa jeshini kwa majuingu...........baada ya maasi ya mwaka 1964....sarakikya alipewa ubrigedia na ukuu wa majeshi ..kilichotokea baada ya hapo kulianza kutokea chuki baina ya askari wasomi .....na maafisa ambao hawakuwa na formal education....enzi hizo maafisa wenye degree walikuwa wanafika kumi....maneno yalipelekwa kwa mwalimu na maafisa wengine kuwa hawa wasomi wakiongozwa na sarakikya ,walikuwa wanapanga mapinduzi................na hicho ndicho kisa cha wasomi kama ....sarakikya,KAVANA,nyarenda,mushi,chuwa,na wengine the like waliondolewa jeshini kwa pamoja na kusambazwa kwenye mashirika ya umma..au kwenye kazi za kitaaluma walizosomea.......

Baadaye sarakikya alikuja kukumbukwa na mkapa ...nadhani alikuta records...kuwa aliondolewa jeshini kienyeji na alikuwa hajaagwa rasmi ..na kupewa mafao..so wakati wa miaka 40 ya jeshi ..alimsurprise kwa kumvika ujenerali .....na kuagiza aagwe rasmi kijeshi...na kupewa mafao stahili...you can t imagine that day sarakikya hakuamini na alitokwa machozi.......that was another side of nyerere of course and his haters......

Hata juzi nyirenda alipokuwa anaumwa walimuadress kama brigedia general.....nikawa najiuliza walimpa lini......maana treatment aliyokuwa akipewa haikuwa na hadhi ya bregadia general..ambao matibabu yao huwa handled na jeshi hata kama wamestaafu...kwani to the surprise of many nyirenda aliuugulia pale ...heart inst...kwa gharama za familia..hadi waandishi walipohoji stahili zake..ndipo serikali ikajipeleka kumuahamishia muhimbili..then india........he was supposed to be at the first grade millitary ward at lugalo ..before taken to india ..in first.......

BAADA ya hapo jeshi lilianza kuongozwa na wakuu wenye elimu za kijeshi zaidi ya za kiraia....twalipo,musuguri,kiaro....hadi alipoingia mboma ..ambaye alianza kurudisha rika la wakuu wasomi waliomfuatia ...kama waitara,na mwamunyange.....siku hizi hizia ya jeshi kuongozwa na wakuu wenye elimu ndogo ya kiraia ..imekwisha ...kwani hata front runners wengi wa U CDF au majenerali wengi kuanzia nyota moja hadi mbili ni graduates....

Nadhani wanaojua ili sakata la hawa wasomi wa mwanzo jeshini watakuja weka mambo sawa.....


Baada ya kuondoka Jeshini, Sarakikya alifanywa Waziri wa Utamaduni na Vijana, halafu akawa balozi wetu hukop Nigeria alikokwenda mara tu baada ya Gen Yakubu Gowon kupinduliwa, amekaa huko kwa muda mrefu kabla hajahamishiwa Ethiopia ambako nako alikaa kwa muda mrefu hadi alipstaafu utumishi serikalini. Kwa hiyo Sarakikya hakufukuzwa jeshini bali alipewa madaraka mengine serikalini na alikuwa na haki zote kama mtumishi wa umma.
 
Jasusi,

Nilivyosimuliwa mie ni kuwa njama za Sarakikya zilikuwa zinahusisha zaidi makapteni na maluteni wasomi wa Kimeru. Mtu kama Musuguri ambaye hakuwa msomi na aliyekuwa kabila moja na Nyerere hakuzielewa kabisa. Afisa wa juu pekee aliyezipata habari za njama hizo alikuwa ni Luteni Kanali Abdallah Twalipo ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera; nadhani alihusishwa kwa vile mkoa wa Kagarea ulikuwa muhimu sana strategically kutokana na uhusiano wetu na Uganda wakati huo. Njama hizi zilikuwa zinajulikana vizuri na vijana mashushu wa Nyerere lakini walikuwa hawajazithibitisha kikamilifu hadi pale ziliipoikujaibuliwa na Luteni Kanali. Baada ya njama kuibuliwa kikamilifu, Nyerere alipangua jeshi lote na kulivunja katika Brigade nne. Akampandisha Lt Col Twalipo kuwa Major General na Mkuu Mpya wa Majeshi, Akawapandisha vyeo Maluteni Kanali Mayunga, Marwa, Msuguri, Walden na Yusufu Himid kuwa mabrigedia na kuwapa command za Brigedi mpya zilizokuwa zimeundwa. Vile vile akampandisha cheo Lt. Col. Kiwelu kuwa Brigedia na Mkuu wa Nidhamu na Utawala jeshini.

Baada ya kuunda jeshi upya, kabla hajatangaza mabadiliko hayo, Mzee Nyerere alikwenda Butiama ambako ndiko alikomwita General Sarakikya amfuate huko huko. Wakiwa Butiama, Neyere akamwuliza Sarakikya jambo lililokuwa linamkera hadi atake kuleta vurugu na kumwaga damu za Watazania bure. Swali hilo lilimfanya Sarakikya akose pumzi na kushindwa kujibu. General alilowa mwili mzima kwa jasho asijue la kufanya; akaomba samahani sana. Baada ya kikao kile, Mwalimu akarudi Dar es Salaama ambako jioni ile alitangaza mabadiliko ya muundo wa Jeshi, ambapo Sarakikya alitolewa kabisa jeshini na kufanywa Waziri wa Wizara mpya ya Vijana na Michezo. Wafuasi wake wengi wale maluteni na makateni wasomi waliswekwa ndani kwa haraka sana na wengine hawajulikani waliishhia wapi.

Mkuu as usual hii imetulia sana shule ya nguvu keep it up...
 
Kichuguu,Philemon Mikael,

..Major.Elisha Kavana aliishia wapi? huyu ndiye Chief of Staff wa kwanza wa JWTZ.
 
Baada ya kuondoka Jeshini, Sarakikya alifanywa Waziri wa Utamaduni na Vijana, halafu akawa balozi wetu hukop Nigeria alikokwenda mara tu baada ya Gen Yakubu Gowon kupinduliwa, amekaa huko kwa muda mrefu kabla hajahamishiwa Ethiopia ambako nako alikaa kwa muda mrefu hadi alipstaafu utumishi serikalini. Kwa hiyo Sarakikya hakufukuzwa jeshini bali alipewa madaraka mengine serikalini na alikuwa na haki zote kama mtumishi wa umma.


1. Ninaamini kuwa baada ya vita vya Uganda, Sarakikya was up to no good against Mwalimu.

2. As the results, Sarakikya alipewa uwaziri wa michezo, baadaye balozi Nigeria, Ethiopia, na kumalizia Nairobi baada ya Lusinde.

- Wengine waliohamishwa kwenye huu mkumbo ni Brigadier Mwakalindile, aliyekuwa a popular Chief Of staff wa JWTZ kuwa balozi Mozambique, na Major General Mayunga, kuwa balozi wetu Zaire, na wote hawa walikaa huko sio less than 15 years, kinyume kabisa na rules zetu za foreign system, ni kwa sababu walikuwa hawatakiwi nyumbani kwa sababu they were a threat kwa establishment.

3. Sarakikya, finally aliporudi alianzisha benki ya Azania kwa kushirikiana na wengine, kwenye uchaguzi uliopita wa rais alijiunga na kambi ya Malecela, siku moja akamshambulia uso kwa uso muungwana, kuwa hawezi kuwa rais wa bongo hata siku moja, yeye na Mustafa Nyang'anyi ni viongozi wawili walivuka msatri na kumshukia muungwana wakati wakati wa kampeni.

Since then, Sarakikya amekuwa a low profile akii-run hii benki kwa kushirikiana na Mzee Rupia. Lakini heshima kwa wote mliotuwekea historia kidogo kuhusu Sarakikya.
 
FMES,
Huyu Nyang'anyi ni opportinist mkubwa. Ninachoshangaa muda wake wa kustaafu umeshapita lakini kwa nini Mwungwana amempa kazi kwenye bodi ya Air Tanzania?
 
Kichuguu,Philemon Mikael,

..Major.Elisha Kavana aliishia wapi? huyu ndiye Chief of Staff wa kwanza wa JWTZ.

Mzee Kavana kama bado yupo hai, anakaa maeneo ya Chang'ombe. Mke wake alikuwa mwalimu wangu shule ya msingi lakini at that time, huyu mzee alikuwa hayupo tena Jeshini.

Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa baada ya maasi ya jeshi 1964 na yaliyotokea Nigeria kina Gowon kuchukua nchi, Mwalimu Nyerere hakuwa na imani tena na wanajeshi wetu waliosomea Sandhurts UK, ambako ndiko Kavana alisomea!

I am not sure when I used to see him daily picking up his wife and children what was he up to, zaidi ya him and my father having wuick chit chat!
 
Huyu Nyang'anyi ni opportinist mkubwa. Ninachoshangaa muda wake wa kustaafu umeshapita lakini kwa nini Mwungwana amempa kazi kwenye bodi ya Air Tanzania?

Mkuu hawa viongozi wa siasa huwa ni wajanja sana, ninakumbuka binafsi kuhudhuria kikao kimoja ambako nilimouna kwa macho yangu balozi Daraja akila kiapo cha kambi moja ya urais opposed to muungwana, huku akimlaani sana kuwa hafai, kumbe lilikuwa ni changa la macho tu,

Na ninaamini unayajua yote aliyoyafanya kwenye deal ya Richimonduli, Nyanga'nyi alipokuwa balozi huko DC, alikuwa na tabia moja ya kuwapelekea sana zawadi nzito nzito wakubwa Dar, ndio waliomkumbuka, baada ya kurudishwa na muungwana toka ubalozi mpya wa Dubai, akaomba msamaha kwa muungwana, akapewa mlo tena!
 
View attachment 2213


matunda ya ushindani wa huduma/biashara;

...zamani mtaani kwetu ni nyumba chache zilizobahatika kuwa na simu, kuna wakati ilibidi kumwita jirani nyumba ya tatu aje sikiza simu yao! ...madingi walikuwa wanazifungia kwenye maboksi ya mbao inabakia receiver tu, au wengine wanaweka ka kufuli😀

...enzi hizo ukitaka kupiga simu ng'ambo unakwenda extelecomm pale, mtaa wa india, unakumbana na foleni na operator wenye nyodo...

...leo hii majority tuna vimobitel viunoni!
 
By Erick Kabendera

At Butimba Maximum Security Prison, inmate Eugene Maganga’s routine for the two years he had been to wake up late on weekends. For some reason however, on that Saturday morning October 22, 1995, he had woken up early and when he switched on his small radio he was just in time to catch a brief news item saying that President Ali Hassan Mwinyi had granted him and several others clemency for their crime.
This is a moment that the group of eight had been waiting for, for the ten years that they been behind bars serving a life sentence for treason. They had never lost hope.
“Prisoners in different cells who also heard the news started cheering,” narrates Maganga, 50. “Surprisingly I did not cheer because I had waited for a long time for this day to come. It was always terrifying to imagine I could spend my entire life in prison.”
Maganga and the other seven – Suleiman Kamando, Zakaria Aspopo, Vitalis Mapunda, Mbogolo, Kajaji Badru, Hatty MacGhee and Christopher Kadego – were convicted in 1985 for a botched plan two years earlier to overthrow the government of the country’s first President, Julius Nyerere. The ninth person, Mohamed Tamimu had been killed in an exchange with the police at the time of their arrest.
On Monday October 24, 1995, two days after the news had come on radio, Maganga was declared a free man. He clearly remembers that day when he crossed the prison gates to freedom. The time was one p.m.
“My joyous relatives and those of my fellow prisoner Hatty MacGhee welcomed us outside the prison. Emotions ran high and the feeling then is very hard to explain even now,” says Maganga.
Six of the other treason convicts were released two days later from Ukonga Prison in Dar es Salaam.
By the time of their release, Maganga had been shuffled through several prisons including Ukonga in Dar es Salaam and his last post at Butimba in Mwanza.
Despite the hardships they endured in prison, Maganga says none of them has ever regretted for attempting to overthrow the government. “We only regret failing the coup mission but we don’t regret planning the coup.”
Before they came up with the idea of overthrowing the government, Maganga and Kadego worked in the army with the Tank Battalion. Maganga was a Lieutenant while Kadego was a captain. Maganga was 26 years old and had just returned from London where he spent four months brushing up his military skills before he was summoned to go and fight in the war with Uganda in 1978.
As one of the soldiers on the frontline, Maganga believes Tanzania won the war because Uganda had a weak army. But he is unforgiving of the general premise on which the war was built. “President Nyerere misused the country’s resources to fight for the interests of his closest friend Milton Obote so he could return him to power.”
If the misunderstandings that led to the war were genuine, Maganga says diplomacy would have helped solve the problem amicably. Instead they had favoured a military campaign.
Soon after this war, in May 1980, Maganga joined the University of Dar es Salaam to study International Relations and Public Administration. He was never happy with the kind of life that Tanzanians were living – he says they were poor and were being forced into Ujamaa villages.
The group contended that the war between the two countries was unnecessary and had only resulted in the misuse of public funds. “The war wasn’t between the two countries rather it was between Nyerere and Idi Amin.”
Maganga further says they also took issue with the conditions in the army which had particularly deteriorated after Major General Mrisho Sarakikya, the first Chief of Defence Forces (1964-1974) and his team had stepped down. The coup plotters also felt that the president lacked trust in the people from the north because they been educated outside the country and he feared that they would attempt to overthrow him. “People who were less educated took over the positions and that is where things went wrong,” says Maganga. Soldiers were not commissioned on merit as the president was keener on creating an army consisting of men who couldn’t pose any challenge against him. He says some officers were promoted twice in a single week. “We wanted to bring changes but the type of people we wanted to work with were not ready to sacrifice. Nevertheless, we didn’t give up on our intention to bring about change.”
As Maganga and his colleagues were still discussing the ways to go about their plans, they met with the late Pius Rugangira (Uncle Tom) who was an established Tanzanian businessman in Kenya. Rugangira’s father was not on good terms with President Nyerere, according to Maganga, and he had gone to live and work in Uganda. And because of having his father in Uganda, Rugangira was accused of being a Ugandan spy – accusations that led to his fallout with the government. Generally, he too felt that Tanzanians were unnecessarily paying the price of an ill-conceived war and that is why he gave audience to the coup plotters.
With Rugangira volunteering to finance their mission, Maganga and other army officers who had already agreed to work together were now optimistic. “We were all young and we did not trust any high ranking officer in the army because they were satisfied with the way things were.”
Though quite forthcoming with just about everything on their coup plans, Maganga is hesitant to reveal exactly how they had had planned to carry it out. He will only say it is still their “top secret” though they expected to exploit the general negligence in the army to achieve their goals.
Another plotter who was in Maganga’s company at the time of the interview but preferred not to be named, says most people believe the group was given a lot of money to carry out the coup but in fact the little money that they received from Rugangira was only meant to take care of small emergencies. He insists it was not compensation for carrying out the coup. “If we were paid money, none of us would have been poor today,” he says.
The former soldier adds that they wanted to build a multiparty democracy in which people could freely express their opinions and choose their own president. “We had proposed that Rugangira would become the Prime Minister but on condition that he would not contest as a presidential candidate in the election that would be held five years later.”
Three days before the planned coup was to take place, Rugangira reportedly asked them the positions they wanted to be given in the new government but they had replied they wanted nothing.
When all arrangements were in place, they waited for the president who was on a state visit abroad to return. According to Maganga, the president came back in January 1982 after spending two months away and went to his home village in Butiama.
“The reason we wanted to overthrow the government while he was in the country is that we intended to assassinate him,” Maganga says. It was Rugangira who opposed the assassination plan in favour of arresting the president.
Nyerere unexpectedly spent more time in Butiama and had still not returned to Dar es Salaam two days before the day when the coup was to take place on Monday January 9, 1982.
The Friday before that – on January 6 – they had planned to meet for the last time before the coup was carried out but some of their colleagues did not turn up for the meeting.
Mohamed Tamimu was among those who didn’t come. “We were worried and we decided to send one of us to Kinondoni Mkwajuni to enquire but we were shocked to find that the police had raided his house and killed him,” says Maganga.
At that point, they all knew their identities and plans were secret no more. Tamimu, according to his colleagues, had a culture of keeping records of the meetings and the names of collaborators. It was only a matter of time before they were arrested.
They had guessed right.
The police were all over looking for the group. Kadego and Maganga decided to escape through Tanga and Mombasa to Nairobi where they stayed for ten months as political refugees. “We don’t know what happened to the others whom we left in Dar es Salaam but we had not given up when we arrived in Nairobi. We wanted to re-organise ourselves and come back to overthrow the government,” says Maganga.
They never blamed each other for failing to carry out the coup successfully though Maganga believes their luck ran out because MacGhee was a civilian and didn’t know how to keep secrets. He suspects MacGhee had leaked the information to almost all of the people he knew before even the mission was a halfway. Maganga also suspects that Tamimu knew that MacGhee was not a former American soldier as he had claimed but did not tell them. “We realised later that his real name was Hatibu Hassan Gandhi and he was a Tanzanian pilot. ”
In Nairobi, they had no jobs and they were surviving under the support of United Nations Commission for Refugees. Maganga says they had some contacts with the America embassy in Nairobi whom they requested for sponsorship to start a base in Nairobi from where they would reorganise and plan for another coup.
“They said they had so many similar activities to support and could not afford sponsoring ours,” he says.
A few days later as Maganga and Kadego loitered in the streets of Nairobi, they suddenly ran into their co-plotters Uncle Tom and MacGhee whom they had left in Dar es Salaam. The two had escaped from Keko Prison in Dar es Salaam where they had been taken upon their arrest.
Though they were comfortable with their life in Nairobi Rugangira decided to travel to London to look at ways to move them to Malawi. He was worried that the government in Nairobi would conspire with Dar es Salaam and arrest them. All eight of them had somehow managed to escape to Nairobi.
Indeed, before Rugangira returned from London, the group was arrested by the authorities in Nairobi and exchanged with Senior Lance Corporal Ochuka and Sergeant Pancras Oteyo who had also made attempts to overthrow the government of then President Daniel arap Moi in 1982 and fled to Tanzania.
“We were heavily handcuffed and blindfolded and taken to Isaka Maximum Security Prison in Dodoma where we stayed from November 1983 to October 1984,” says Maganga.
On arrival there, they found the walls of the prison cells they were assigned were smeared with faeces. They were chained to the ground, and spent three days without taking a shower. The head of the prison had directed the prison warders not to talk to the captives or even get near them fearing that the captives would try to influence the law enforcers to join hands with them.
Maganga says however that the people who were guarding them were not all that bad and at one time they helped the prisoners smuggle a letter out to the American Embassy. They had wanted the world to know that they were in jail because nobody was aware of this at the time.
The letter they had written, Maganga says, prompted a UN Commissioner for Refugees to visit Tanzania and pressured government to forward the case to court.
The trial started in January 1985 and in December of that year they were sentenced to life imprisonment.
They insist that in principle they have no regrets about plotting the coup, but Maganga says his only disappointments are in the way their lives turned out.
After being set free, they found that some friends and relatives had turned hostile towards them and did not want to be seen near or with them.
Both Kadego and Maganga have never married and Maganga says the hardest part was probably not the ten years they spent in jail but starting all over again when they owned nothing. “The government made sure that we don’t get employed anywhere and some of us have remained unemployed to this day,” he says.
Some of them whose families were better off managed to make a breakthrough in businesses. “Kadego and I live hand to mouth. In fact Kadego is a machinga,” Maganga says.
MacGhee died a week after their release while a couple of them tried to join the opposition parties but decided to quit. They felt the parties were disorganised and the people who led them seemed self-seeking.
“In the last year’s elections, I contested for a parliamentary seat in Tabora constituency but I lost. I don’t want to involve myself in politics again,” Maganga says.
Maganga has two children from different mothers and he says nobody bothered to send them to good schools while he was in jail. He still hopes to provide them with a good education but with no income, his plans are beginning to seem like wishful thinking.
He had himself enrolled at the Open University of Tanzania to study Law in 1999 but dropped out in his second year due to lack of fees. “Not all my friends care about my problems. Some try to reach me when they have something to give me,” he says.
With the way things are going for him right now, he is just about ready to do any job that is offered to him.
Still, his personal life doesn’t bother him quite as much as what he calls ‘the mindset of Tanzanians’. “They complain of almost everything but none of them has ever taken any action. They blame us for trying to overthrow the government while most of them would not even dare,” he says.
He told me he was going to bed that night without any food but that didn’t bother him; it would not be the first time. It is when he says, “This country… Nyerere corrupted the mindset of the people. Very few people can think and take action,” that he wears the mask of disappointment.
 
Mkuu Icadon,

Again heshima mbele kwa hiki kipande cha info, naomba tu kukiweka sawa zaidi ili kisomeke kwa urahisi:-


By Erick Kabendera

At Butimba Maximum Security Prison, inmate Eugene Maganga's routine for the two years he had been to wake up late on weekends. For some reason however, on that Saturday morning October 22, 1995, he had woken up early and when he switched on his small radio he was just in time to catch a brief news item saying that President Ali Hassan Mwinyi had granted him and several others clemency for their crime.

This is a moment that the group of eight had been waiting for, for the ten years that they been behind bars serving a life sentence for treason. They had never lost hope. "Prisoners in different cells who also heard the news started cheering," narrates Maganga, 50. "Surprisingly I did not cheer because I had waited for a long time for this day to come. It was always terrifying to imagine I could spend my entire life in prison."

Maganga and the other seven – Suleiman Kamando, Zakaria Aspopo, Vitalis Mapunda, Mbogolo, Kajaji Badru, Hatty MacGhee and Christopher Kadego – were convicted in 1985 for a botched plan two years earlier to overthrow the government of the country's first President, Julius Nyerere. The ninth person, Mohamed Tamimu had been killed in an exchange with the police at the time of their arrest.
 
On Monday October 24, 1995, two days after the news had come on radio, Maganga was declared a free man. He clearly remembers that day when he crossed the prison gates to freedom. The time was one p.m.

“My joyous relatives and those of my fellow prisoner Hatty MacGhee welcomed us outside the prison. Emotions ran high and the feeling then is very hard to explain even now,” says Maganga. Six of the other treason convicts were released two days later from Ukonga Prison in Dar es Salaam.
By the time of their release,

Maganga had been shuffled through several prisons including Ukonga in Dar es Salaam and his last post at Butimba in Mwanza. Despite the hardships they endured in prison, Maganga says none of them has ever regretted for attempting to overthrow the government. “We only regret failing the coup mission but we don’t regret planning the coup.”
 
eti huyu wa pembeni ni malecela?
 

Attachments

  • mwalimuu.JPG
    mwalimuu.JPG
    36.9 KB · Views: 669
Before they came up with the idea of overthrowing the government, Maganga and Kadego worked in the army with the Tank Battalion. Maganga was a Lieutenant while Kadego was a captain. Maganga was 26 years old and had just returned from London where he spent four months brushing up his military skills before he was summoned to go and fight in the war with Uganda in 1978.

As one of the soldiers on the frontline, Maganga believes Tanzania won the war because Uganda had a weak army. But he is unforgiving of the general premise on which the war was built. “President Nyerere misused the country’s resources to fight for the interests of his closest friend Milton Obote so he could return him to power.”

If the misunderstandings that led to the war were genuine, Maganga says diplomacy would have helped solve the problem amicably. Instead they had favoured a military campaign.


Soon after this war, in May 1980, Maganga joined the University of Dar es Salaam to study International Relations and Public Administration. He was never happy with the kind of life that Tanzanians were living – he says they were poor and were being forced into Ujamaa villages. The group contended that the war between the two countries was unnecessary and had only resulted in the misuse of public funds. “The war wasn’t between the two countries rather it was between Nyerere and Idi Amin.”
 
Maganga further says they also took issue with the conditions in the army which had particularly deteriorated after Major General Mrisho Sarakikya, the first Chief of Defence Forces (1964-1974) and his team had stepped down.

The coup plotters also felt that the president lacked trust in the people from the north because they been educated outside the country and he feared that they would attempt to overthrow him. “People who were less educated took over the positions and that is where things went wrong,” says Maganga.

Soldiers were not commissioned on merit as the president was keener on creating an army consisting of men who couldn’t pose any challenge against him. He says some officers were promoted twice in a single week. “We wanted to bring changes but the type of people we wanted to work with were not ready to sacrifice. Nevertheless, we didn’t give up on our intention to bring about change.”
 
Back
Top Bottom