Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

FMES,
Yep!! ndio yenyewe
Kuna mtu anajua kwa nini Mwl aliamua kuvaa kibaraghashia?

Kambona

Karume

Kawawa

 
Mkulu Icadon,

Heshima mbele mkuu, hapa chini umeniuwa na picha ya Mzee Kamwene akiwa refa wa mpira wa mechi kati ya wabunge na mawaziri, pale Uwanja wa Karume, Ilala yaani long time ago! Siku hizi hakuna tena haya!

Wallahi wewe mkali bro!
 
Mkuu Kichuguu,

Hapo msaaada, najua kuna Mwalimu, Mkapa lakini huyu wa pembeni amefanana na Pinda ila sijui ni nani mkuu weka msaaada!
 
Mkuu Kichuguu,

Hapo msaaada, najua kuna Mwalimu, Mkapa lakini huyu wa pembeni amefanana na Pinda ila sijui ni nani mkuu weka msaaada!

Mkuu Marshal; hata mimi sina uhakika sawasawa na huyo njemba wa tatu, ila ninadhani kuwa alikuwa ni Meja Hashim Mbita.
 
Mkuu Kichuguu,

Hapo msaaada, najua kuna Mwalimu, Mkapa lakini huyu wa pembeni amefanana na Pinda ila sijui ni nani mkuu weka msaaada!
Che Nkapa alikuwa hjawa fisadi hapo si mnaona yuko fit. Baada ya Ufisadi ndiyo anakaribia kuapasuka
 
Nyingine ambayo huwa naiangalia sana ni pale Nyerere alipotembea kwa mguu kutoka Butiama hadi Mwanza ati akiwa anaunga mkono Azimio la Arusha. Nadhani kuwa haya yalikuwa ni matumizi mabaya kabisa ya mali za umma.

 
Mtakumbuka mengi kwani hata maiti hukumbukwa na ikiwa kunahitajika uchunguzi wakaenda kufukuliwa. Na Uchunguzi kufanyika na ushahidi kukubaliwa.Na haki kutendeka.
Naona karibu mtaiona miti yote inateleza.

Kuna viumbe wengine wanafurahia sana kufanya uchokozi; dawa yao ni kuwapuuza tu; teh!!!!!! teh!!!!!! teh!!!!!! teh!!!!!!

 
Naona kama nilishahau picha hii ya gwaride la kuzindua Muungano

 
Waziri wa fedha wakati huo Mheshimiwa Bwana Amil Jamal. Hapa ni siku alipoleta bajeti ambayo pamoja na mambo mengine ilisitisha zoezi la kupandisha bei za bia kwa vile, kulingana na maoni yake, kufanya hivyo kuilikuwa kunasababisha watu wengi kuacha kunywa bia na badala yake kunywa gongo. Hatua pekee aliyoyafanya kwenye bajeti ile ni kuondoa bia ya painti moja na kuleta bia ya nusu lita kwa bei ile ile. Hadi leo bado tunatumia chupa za nusu lita. Kwa vile nusu lita ni ndogo kuliko painti, alichofanya mheshimiwa huyu ni kuongeza bei ya bia katika njia iliyowalazimisha wanywaji kunywa bia kidogo kwa bajeti ili ile ya mwaka jana bila kutambua ongezeko halisi la bei; napenda sana akili ya namna hii miongoni mwa wanasiasa wetu.

 
Naona picha ya haramia okello, hivi hao wenzie kuna mtu atueleze wako wapi? au ndo wanaong'ang'ana kuvunja muungano.
 
Che Nkapa alikuwa hjawa fisadi hapo si mnaona yuko fit. Baada ya Ufisadi ndiyo anakaribia kuapasuka

Hivi sasa anatumia vidonge vya kuzidisha muda maana nimesikia sababu ya kuwa amekimbiwa na mkewe ni kuwa anabeba wadudu +ve , ingawa wanataka kuunda kamati kuchunguza jambo hilo,matokeo yanajulikana ataambiwa negative si unazijua kamati zetu.
 
Naona picha ya amil jamal, magari ya mawaziri yalikuwa bito moris na pijo 404. Leo hii pamoja na bidii za magufuri kujenga lami bado wanang'ang'ania vogue vx cc4500.
 

nani kakwambia kama Nyerere hakulimbikiza mali ,kama unaijua sababu ya Mkapa kufungua genge la biashala ikulu ,usingesema hayo ?
Kifo cha Nyerere kinajulikana ni ni baada ya kufa Jamal ambae ndie aliekuwa anahifazi feza ya Nyerere kwa jina lake,ghafla Jamal alipofariki Nyerere akafunga safari hadi kwa mke wa Jamali na kuulizia ela yake ,mke wa Jamali akamjibu Bana haikuacha kitu kwa jina lako ,hapo ndipo ugonjwa ulipoanza kumtambalia Mwalim na kumuondoa duniani.
 

Mwiba, you are too low, you tried to debate in some discussion threads, but now I discover you're low and I Join FM ES not to take you seriously!
 
Udhibitisho pls....kama huna omba radhi kwa maandishi yako.......
 
jamani,ombi kwa mtu,yoyote,menye picha na maelezo ya ile mutiny ya jeshi,historia inatueleza nusu nusu.nasikia nyerere aliomba msaada wa jeshi la uingereza.who were the ring leaders and what happened to them,nasikia there was a lot of looting jijini dar es salaam-thanks in advance
 
Ninaamini kuwa Kanali Nyirenda, alihusika sana na ile kitu, niliwahi kuonana naye sana Lusaka, Zambia in the early 80s, ambako amekuwa akiishi in exile toka baada ya ile kitu lakini alikataa kata kata kuiongelea nilipojaribu kumgusa nayo,

Lakini nikaamuuliza kulikoni yeye kuishi mafichoni badala ya nchi yake Tanzania, akasema kuwa baadhi ya watawala wa Tanzania hawamtaki ndio maana yuko kule,

Yeye na Kambona, waliohusika sana na ile kitu kama viongozi wake, na wote ni wana asili ya Malawi, kama Kaunda.
 
Nyirenda exiled in Zambia? Hivi siyo huyu mzee aliyekuwa wodini Muhimbili miezi kadhaa iliyopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…