Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

- Hapa juu ni Bwana Savimbi, aliyekua akiendesha vita vya msituni against serikali halali ya wananchi wa Angola, Tanzania tulimsaidia sana katika kupigania uhuru kutoka kwa Wareno, lakini baadaye akawageukia wananchi akisaidiwa sana kwa siri na serikali ya Kaunda.

2002: Killed in combat

After surviving more than a dozen assassination attempts, Savimbi was killed on February 22, 2002, in a battle with Angolan government troops - and, reportedly, South African mercenaries and Israeli special forces[18] - along riverbanks in the province of Moxico, his birthplace. In the firefight, Savimbi sustained 15 machine gun bullets to his head, throat, upper body and legs. While Savimbi returned gun fire, the blows proved immediately fatal.[19]


Savimbi's somewhat mystical reputation for eluding the Angolan military and their Soviet and Cuban military advisors led many Angolans to question the validity of reports of his 2002 death. Not until pictures of his bloodied and bullet-ridden body appeared on Angolan state television, and the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/United_States_Department_of_State"]United States State Department[/ame] subsequently confirmed it, did the reports of Savimbi's death in combat gain credence in the country.


Savimbi was interred in Luena, Moxico Province, in east central Angola. In January 2008, his gravesite was vandalized by MPLA party activists, two of whom were arrested.[20]


Respect.

FMEs!
 
The founding President of ZAMBIA
KAUNDA,alikuwa ni mtu emotional sana,kwake tendo la kutokwa machozi lilikuwa kawaida sana.kuna wakati aliwapa ultimatum wazambia,either wapunguze ulevi au yeye anajiuzulu,wazambia wakamwambia afadhali ajiuzulu yeye kuliko wao kuacha pombe what followed next and in disbelief akaanza kulia
 
KAUNDA,alikuwa ni mtu emotional sana,kwake tendo la kutokwa machozi lilikuwa kawaida sana.kuna wakati aliwapa ultimatum wazambia,either wapunguze ulevi au yeye anajiuzulu,wazambia wakamwambia afadhali ajiuzulu yeye kuliko wao kuacha pombe what followed next and in disbelief akaanza kulia

- Ni kweli kabisa mkuu wananchi wa Zambia walikuwa walevi sana, lakini nimeshangaa sana kwamba na wao kama Idd Amin walinunua jengo lao kubwa sana pale New York, sisi bongo mpaka leo hamna kitu maneno mengi tu kwenye mikutano ya viongozi.

- Kwa hilo la kuwa na jengo NY nawapa heshima sana hawa wa-Zambia, na hapo ju ni rais wao wa zamani Chiluba na mkewe, huyu ndiye aliyemtoa Kaunda kwa kumshinda kura, baada ya Kaunda kuwa rais kwa 27 years, ninaamini kuwa huyu Kaunda alikuwa mstaarabu maana angeweza kugoma kutoka na kuiba uchaguzi, kweli huyu ni Ghandi of Africa ninamukubali sana.

Respect.

FMEs!
 
huyo CHILUBA amewahi kufanya kazi kwenye mashamba ya mkonge tanzania kama administrater,huyu jamaa ana pair nyingi za viatu kuliko hata Imelda Marcos
 
i420_610x.jpg
Mr. Kafupi
 
- Ni kweli kabisa mkuu wananchi wa Zambia walikuwa walevi sana, lakini nimeshangaa sana kwamba na wao kama Idd Amin walinunua jengo lao kubwa sana pale New York, sisi bongo mpaka leo hamna kitu maneno mengi tu kwenye mikutano ya viongozi.

- Kwa hilo la kuwa na jengo NY nawapa heshima sana hawa wa-Zambia, na hapo ju ni rais wao wa zamani Chiluba na mkewe, huyu ndiye aliyemtoa Kaunda kwa kumshinda kura, baada ya Kaunda kuwa rais kwa 27 years, ninaamini kuwa huyu Kaunda alikuwa mstaarabu maana angeweza kugoma kutoka na kuiba uchaguzi, kweli huyu ni Ghandi of Africa ninamukubali sana.

Respect.

FMEs!

Mkuu:

Ukiangalia hata lawama tunazotumia na viongozi wetu, zinaonyesha kuwa sisi ni watu wa maneno na mipango mikubwa mikubwa. Lakini kwenye vitendo, tupo nyuma sana.

Na mambo haya tumeyafanya kwa muda mrefu na sasa umekuwa utamaduni wetu.
 
- Ni kweli kabisa mkuu wananchi wa Zambia walikuwa walevi sana,
Respect.

FMEs!
Umenikumbusha mbali mkuu! Hawa ndugu zetu kwa maji ni kiboko.
Nakumbuka miaka ya 80 mwanzaoni nikiwa ndani ya treni laExpress la Tazara, walilewa chakari na katika kulewa wakaanza kusifia kuku wa Buguruni waliokula jana yake!!!
Jamaa katika kunywa huwa hawali kabisa for maximum effect!!!
 

Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa

- Wakuu vipi kule juu basi la Ikarus Kumba Kumba, imekaaje?
 
DR. ASHA-ROSE MIGIRO

Dr. Asha-Rose Migiro of Tanzania took office as Deputy Secretary-General of the United Nations on 1 February 2007. She is the third Deputy Secretary-General to be appointed since the post was established in 1997.

Career Highlights

Dr. Migiro served as Minister of Foreign Affairs and International Cooperation from 2006-2007 -- the first woman in the United Republic of Tanzania to hold that position since its independence in 1961. Before that, she was Minister for Community Development, Gender and Children for five years.

As Foreign Minister, Dr. Migiro spearheaded Tanzania 's engagement in the pursuit of peace, security and development in the Great Lakes Region. She served as Chair of the Council of Ministers' meetings of the International Conference of the Great Lakes Region, a process that culminated into a Pact on Security, Stability and Development in the Great Lakes Region.

Dr. Migiro was also Chair of the Southern African Development Community (SADC) Ministerial Committee of the Organ on Politics, Defense and Security Cooperation and President of the UN Security Council during its open debate on peace, security and development in the Great Lakes Region. As Chair of the SADC Organ,
Dr. Migiro coordinated SADC assistance to the democratic process, including elections, in the Democratic Republic of the Congo (DRC), as well as support for national elections in Zambia and Madagascar . At the time of her appointment, she was chairing an important SADC Ministerial Troika Meeting ahead of the national elections in the Kingdom of Lesotho .

Prior to Government service, Dr. Migiro pursued a career in academia. She was a member of the Faculty of Law at the University of Dar -es-Salaam, where she rose to the rank of Senior Lecturer. She headed the Department of Constitutional and Administrative Law from 1992 to 1994, and the Department of Civil and Criminal Law from 1994 to 1997. Her work was published widely in local and international journals.

Dr. Migiro served as a member of Tanzania 's Law Reform Commission in 1997 and as a member of the UN Committee on the Elimination of Discrimination against Women in 2000.

Education

Dr. Migiro obtained a Master of Laws from the University of Dar-es-Salaam in 1984 and a Doctorate in law from the University of Konstanz in Germany in 1992.

Personal

Dr. Migiro was born in Songea , Tanzania , on 9 July 1956. She is married to Professor Cleophas Migiro and has two daughters. In addition to English, she speaks Kiswahili, basic Frenc
 




Mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe, huyu ni kiongozi imara ambaye amekisaidia sana chama cha upinzani Chadema kuwa na makali sana na hata wakati fulani kuwapa taabu sana CCM, yaani chama tawala.


FMeS!
 
Kuna picha za Kawawa, Karume mkubwa, Abdul Jumbe na wazee wetu kama hao? Tunge pata picha zao za zamani ingekuwa vizuri kweli.
 
kumbukumbu ninayoikimbuka baada ya kung'atuka 1984 alirudisha majembe kijijini butiama kwenda kulima, unaijua hiyo baadhi ya masecretari walikataa kwenda musoma waliona itakuwa choka mbaya, aliyekubali alikuwa mama anna mwansasu.
kumbe walikataa bahati baadaye watu weupe wakaanza kumtumia kweli kweli walimuona ndio kwanza kijana wa miaka 20, akachaguliwa mwenyekiti wa south south commision makao makuu yake geneva , akaanza kupaa duniani kote sehemu asizokwenda akiwa rais zote alifika, kwahiyo akaanzisha mwalimu nyerere foundation mwenyekiti mwenyewe, akawa mwenyekiti wa mgogoro wa burundi, mwenyekiti mwalimu nyerere education trust fund. Aise alitembea duniani kote. Usiache mbachao
 
Eli M. Anangisye, Former Secretary-General of TANU youth League and M.P of East Rungwe.

Baba.jpg
 
Last edited:
This was the man! Angelikuwepo hai huyu leo tungekuwa industrialized. Kule kuvaa vitenge vya urafiki na kukosa sabuni kulikuwa ndio njia sahihi ya kutufundisha kutumia akili zetu kutafuta maendeleo. Bahati mbaya ndiyo hivyo tena. A winning formula was lost by the loss of this tough man
 
Back
Top Bottom