Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

cabinet+baada+ya+muungano.jpg

Baraza la Mawaziri Baada tu ya Muungano
 
Jamani kuna mwenye wimbo wa Orcherstra makassy unaitwa Nyamolela au Namolema kama nimekosea mtanisahihisha aniwekeee tafadhari unanikumbusha mbali mnoooooo. siku hizi JF Hakuna Zilipendwa MODS VIPI JAMANI? nakosa rahaaaaaaa
 
Mtakumbuka mengi kwani hata maiti hukumbukwa na ikiwa kunahitajika uchunguzi wakaenda kufukuliwa. Na Uchunguzi kufanyika na ushahidi kukubaliwa.Na haki kutendeka.
Naona karibu mtaiona miti yote inateleza.

Tuna juwa wewe ni kizazi cha wale waliokuwa wanaona kama Mwl. JKN anawazibia kufyagia mali za nchi hii, hivyo comment zako hatuzishangai. Huku tunaburudika na mapicha tukichoka upupu wako kwenye siasa. Snap ni safi na zina kumbukumbu nzuri.
 
29th June 2010
Two Air Force Wing pilots from TPDF died after their aircraft crashed on the Chalinze-Segera Highway.

2.jpg
3.jpg
4.jpg
 
Hii thread nzuri sana ila sijaona picha ya wanafunzi wa zamani. je, walikuwa wanavaaje? Wawe wa Primary au sekondari. Naambiwa walikuwa wanavaa kaptura kama za magereza na shati la kishikaji lisilo na 'collar'.
 

tumetoka mbali...hapa rais nimeiri wa sudan akisalimiana na omar zimbwe huku mohamed chuma (shoto) na nahodha abdulrahmani wakishuhudia. nyuma yao ni kitwana manara 'popat' na abdallah king kibaden mputa. hapa stazz walicheza vifua wazi na sudan baada ya kukosekana jezi. mwalimu nyerere aliyehudhuria mechi hii na mgeni wake hakuonekana tena mpirani toka siku hiyo.... f mtimkubwa na mdau yeyote mwenye kumbukumbu hebu tupeni nondo kamili ya siku hii




tumetoka mbali...hapa rais nimeiri wa sudan akisalimiana na omar zimbwe huku mohamed chuma (shoto) na nahodha abdulrahmani wakishuhudia. nyuma yao ni kitwana manara 'popat' na abdallah king kibaden mputa. hapa stazz walicheza vifua wazi na sudan baada ya kukosekana jezi. mwalimu nyerere aliyehudhuria mechi hii na mgeni wake hakuonekana tena mpirani toka siku hiyo.... f mtimkubwa na mdau yeyote mwenye kumbukumbu hebu tupeni nondo kamili ya siku hii


Sahihisho: Taifa Stars hawakucheza vifua wazi. Jezi zilichelewa kuletwa uwanjani. Sasa basi wakati wa ukaguzi wa timu jezi zilikuwa hazijafika. Baada ya kukaguliwa jezi zililetwa na wachezaji wakavaa kabla ya kuanza kwa mchezo.











 
8aa268e7257f6c6622377f819195_grande.jpg
photo: Creative Commons / E.M. Santos

Female convicts chained together by their necks for work on a road. Dar es Salaam, Tanganyika c.1890-1927.
 
wakuu mi ni registered user, ila sizioni picha nyengine, naona koment ya picha ambazo czion. Mfano ya Mohamed Ally akishikana shati na huyo waziri, na hiyo ya Malecela ameshika Kifimbo!
Help please!
 
Tuonesheni na nyerere alipokua anavalishwa suruali na waislam ili aonekane kama wastaarabu wengine
 
Tafadhali wasiliana na mimi firechief365@hotmail.com


jamani naamini wengi wetu tumekaa vijiweni/maskani,ambavyo in one way or another vilishape destiny zetu.mimi ni mwana HARLEM,kijiwe shule ya msingi muhimbili,tulikuwa na football team vilevile,me i was only a cheerleader.ujana unasumbua kwa hiyo vitu kama wee ilikuwa kama kazi,nakumbuka tukielekea madebeni mbowe tulipitia MISSISSIPI(nyuma ya library)kwa mzee musa.Those were the days,unfortunately washikaji wengi,with time,they just fell off the rails
 
Back
Top Bottom