JF hii thread msije mkaipoteza maana ni nzuri sana. Nimefurahishwa sana na jinsi watu wananyotambua vizuri tulikotoka. Ni Urithi mzuri sana wa vizazi vijavyo. Kweli kuna mengi sana ya kujifunza, na pia nimeona picha za wakubwa wetu wa nchi wakiwa wadogo. Jamani tumetoka mbali. Heshima sana kwa wote waliochangia.