Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Huyo wa kulia ni Wilfred Mwabulambo ayelikua Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni na Michezo wakati huo Muhamed Ally alipokuja Tanzania.


Ally alikuja nchini akiwa kama Mjumbe maalum wa serikali ya Marekani kuiomba Tanzania isishiriki Michezo ya Olimpiki ya Moscow 1980. Ilikua ni wakati wa vita baridi.

Hata hivyo Tanzania ilipeleka wanamichezo wake kwenye michezo hiyo
R.I.P. Wilfred Mwabulambo

R.I.P. Muhammad Ally

R.I.P. William Malecela(Mleta uzi)
 
Kumbe marehemu jina au moja ya aka zake ya BOMA LIWANZA ilikuwa jina la bend ya orch boma liwanza
 
this man Nyerere,kumbe ameshatokea katika cover ya TIME magazine,kumbe hii mutu ilikuwa,a mover and shaker katika world affairs,unlike what we are made to believe from some quarters
Aliheshimika kama kina Nkrumah enzi zake, pia ujasiri wake wa kuzikomboa nchi za kusini kwetu hadi kwa Mandela
 
Muhammed Ali anapenda sana utani...😃

Azidi kupumzika kwa Aman Champs
 
Nyingine ambayo huwa naiangalia sana ni pale Nyerere alipotembea kwa mguu kutoka Butiama hadi Mwanza ati akiwa anaunga mkono Azimio la Arusha. Nadhani kuwa haya yalikuwa ni matumizi mabaya kabisa ya mali za umma.

Najaribu kuelewa mkuu nimeshindwa

Kivip ilikua matumizi mabaya ya mali za umma

Au tuseme kwa enzi hizo labda???
 
alikuwa mKenya, ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…