Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Wat a w'ful thread, am enjoyin an learnin alot on this thread.. God Bless U All.
 
Nguvu kwa binadamu ni kitu cha kuisha ebu tizama hizi picha na wewe jiangalie unatoka wapi unaelekea wapi?
 
LOL! Kumbe enzi hizo Malecela kuna wakati alikuwa anamshikia Mwalimu kifimbo chake? 🙂 Imenifurahisha sana picha hiyo. Wakati ule Tanzania kulikuwa hakuna mafisadi siyo kama siku hizi hata Rais wa nchi anaamua kufanya ufisadi dhidi ya nchi yake!

Mimi naona hili jina la Tanzania lina kama kanuksi hivi. Ikibidi turudi kwenye jina letu la Tanganyika pengine mambo yatajirudia. :biggrin1:
 
nyani ana fujo huyooo



Kuna viumbe wengine wanafurahia sana kufanya uchokozi; dawa yao ni kuwapuuza tu; teh!!!!!! teh!!!!!! teh!!!!!! teh!!!!!!

annoyances.gif
 
Mkuu Mbu

hizo attachment zako zote nashindwa kuzifungua, p'se ziweke wazi kama wale wengine tuzione kiurahisi. nina interest nazo sana mkuu. Big uuuuup
 
mosque street,dar es salaam,1937
dar_es_salaam.jpg

vitu matata sana hivi vinaweza kutubadilisha jinsi tunavyofikiria na kuayona maisha kwa upande mwingine , wakuu kwa wale wenye picha za vita ya uganda miaka ya sabini tunaomba kkuziona nakumbuka niliona kwenye kitabu flani siku nyingi kabla nipo shule ya msingi nilivutiwa na maneno ya ujUmbe katika moja ya gari aina ya landrover zikitoka vitani maneo yalisema , kazi mliyotutuma tumeimaliza,
maneno haya yalinipa moyo na yaliniinspire wakati nasoma maeneo flani kwa mkopo na lugha tuliyokua tunatumia ni kiboko, nilidhani ni aibu kama ntarudi nyumbani na kusema nimeshindwa kusoma na kumaliza masomo kwani lugha ni ngumu na sielewi, mpaka sasa najua katika dunia hii kila kitu kinawezekana na kuna njia nyingi za kufanya kitu kiwezekane, kudos mashujaa wetu
 
german memorial in lugalo,iringa here general zelewisk was defeated and killed by chief mkwawa
2097564.jpg
 
hiki kichwa unakiona hata kilivyopose kuwa kilikuwa serious hakuna tabasamu za uongo uongo kuwaibia watu.

Kama unaongelea nyerere ni kweli humjui, jamaa alikuwa ndio mwenyewe kwa vicheko vya unafik, kama unabisha sikiliza hotuba zake.
 
Back
Top Bottom