Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

View attachment 2116934

Askari Monument | Mnara wa Askari, Dar es Salaam, Tanzania | Mwaka 1983.
Nope, Askari Monument mnamo mwaka 1983 haikuwa hivi!
Barabara kipindi hicho cha 1980's katika eneo hili zilikuwa pana pia baadhi ya majengo kama vile Haji Brothers & Co. hayakuwepo. Nimepita sana eneo hili nikienda zangu British Council Library kutafuta maarifa.
 
Kigoma town miaka hiyo.
IMG-20230211-WA0000.jpg
 
Mfano Uhuru wa nchi hii mapambano makubwa yalifanywa na watu wa Pwani

Mfano Dar Es Sallam jamii za mkoa huu zilipambana haswa hadi Uhuru ukapatikana

Huyo nyerere mchango wake ni mdogo sana, lakini waliompambania hadi hapo wapo ijapo alikuja kuwageuka Julius hakua na shukurani kabisa

Mungu awabariki wazee wa DSM na Pwani

My take:Huwa nawashangaa hawa wajinga humu wanaokashifu watu fulani kwa kuwaita majina ya ajabu wakisahau bila wao tusingepata uhuruView attachment 2952843
1712145973580.jpg
 
Back
Top Bottom