Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

kingani.jpg


Boti iliyoitwa "mimi" - huo ni mwaka 1914 wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia. Hao ni Waingereza baada ya kuwapa kipigo Wajerumani pwani ya Ziwa Tanganyika. Anayetaka kusoma zaidi angalia - A History of Africa, Chapter 8
 
Bin Laden..
Hilo jina Mkandara limekukalia kichwani eeeh!..Haya nambie huo Ufisadi unaotokana na jina langu ni upi?..Na vipi wewe na huyu Mwinyi kulikoni?...kama sii yeye... bla bla blaa... kwani yeye Muumba..
Hayo maisha sema wewe ndio kakusaidia kwani mimi nilikuwa majuu..Ebu fuatilia ni nyumba ngapi Mwinyi amechukua pale Dar!.. kama sii fisadi mwingine kitu gani kilichompa haki ya kuchukua nyumba za msajili na kuzifanya zake akawapa hadi wajukuu zake..Mijitu mijinga kama nyie ndio mnamsujudia lakini sii mimi hata kidogo.. kwa kitu gani hilo jina - Mwinyi Mpeku!
 
- Bob kumbe umeshitukia jinsi mtoto wake alivyopora apartment nne kwenye jengo la msajili pale Salender Bridge, na kuzigeuza kuwa moja, mtoto wa kiongozi wa wanyonge!

- Kweli wajinga ndio tuliwao!

FMEs!
 
STA70161-1.jpg

SIKU ZOTE PICHA HAIONGOPI...MICHUZI SAFARINI LONDON NA HIVI NDIVYO TAX PAYERS MONEY ZINAVYOFANYA KAZI
 
FM ES,Sio unafiki pekee bali hata ubazazi na ukosefu wa shukrani wa kiwango cha juu.Katika wote huyu bwana ndio hasaa aliyetakiwa kuonyesha wazi kufuata kwa vitendo aliyoasisi Mwl. Kama wapigakura wengi walidhani kua huyu ni Ken M beki wa Yanga bila mwl kumuuza nani angenunua "hiyo bidhaa?'
Chakaza Mkuu salam
Kwa vile maandishi haya yanakaa katika Histora ni vema kufafanua kuwa bila Mwalimu MKAPA angekuwa bidhaa mbovu mbele ya wapiga kura hata bure Watanzania wasingechukua.
 
Chakaza Mkuu salam
Kwa vile maandishi haya yanakaa katika Histora ni vema kufafanua kuwa bila Mwalimu MKAPA angekuwa bidhaa mbovu mbele ya wapiga kura hata bure Watanzania wasingechukua.

Jujuman, ulipotelea wapi? Hujaonekana kipande hii muda mrefu sana. Nakubalian nawe kabisa kwamba kama siyo Mwalimu kumpigia debe fisadi Mkapa alikuwa haendi kokote. Mimi tangu mwanzoni nilikuwa simuamini na ahadi zake za 'uwazi na ukweli' lakini mara tu baada ya kuingia madarakani akaunda tume ya Warioba, uamuzi ambao ulitufurahisha Watanzania wengi tuliochoshwa na rushwa iliyokithiri ndani na serikali, mashirika yetu na hata CCM, lakini kilichofuatia baada ya kukabidhiwa ripoti ile wote tunakielewa.

Kuhusu vikao vya Kamati Kuu ya WASANII huko siku hizi hakuna lolote ni kufanya USANII WA HALI ya JUU ambao Watanzania wengi tumechoshwa nao. Huwezi kabisa kusikia maamuzi yoyote mazito kuhusu nchi yetu kutoka katika vikao vya kamati kuu ya wasanii. Ni blah blah blah blah kikao kimekwisha.
 


- Inarudia pale pale kwamba hawa viongozi walioko kamati kuu hakuna aliyejichagua ila wamechaguliwa na sisi wananchi, tunaowachagua wao na chama chao kututawala tena for the last 47 years,

- Na majuzi tu Busanda wananchi tunaotakiwa kua tumewachoka CCM bado tumewachagua na soon tutawachagua tena Biharamulo, meaning kwamba siasa za JF ni one thing na ground zero yaani bongo ni zingine kabisaa!

Respect.

FMEs!
 
JK afungua mkutano mkuu wa wazazi dodoma
JK akifungua mkutano mkuu wa saba wa umoja wa wazazi kwenye ukumbi wa Kilimani mjini dodoma leo. Shoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa anayemaliza muda wake, Mh. Athumani Mhina na kulia ni mkuu wa mkoa wa dodoma Dk. James Msekela
 
STA70161-1.jpg

SIKU ZOTE PICHA HAIONGOPI...MICHUZI SAFARINI LONDON NA HIVI NDIVYO TAX PAYERS MONEY ZINAVYOFANYA KAZI



Mama aliyeko ndani anamshangaa mtu aliyewapiga picha! Je mpiga picha alimtaime Michuzi au michuzi alikubaliana na mpiga picha maana michuzi anacheka!!!

Mzigo alioununua michuzi si utaua au kubomoa!!
 
Imebaki takriban miaka miwili/mitatu hivi tutimize nusu karne (i.e. 50 Years).....mada hii itasaidia sana aktika maadhimisho siku hiyo.

Ni siku ambayo Watanzania tunatakiwa....AGAIN...kuji-assess......kihistoria, tumefanikiwa wapi. tumefeli wapi.....wapi turekebishe......towards siku hiyo tunatakiwa tujitangaze kwa nguvu ulimwengu mzima.........well nina mambo mengi ya kueleza......however i can only imagine..........Dah Tanzania yangu........

Tujiandae kusheherekea NUSU KARNE

Kazi muifanyayo kwenye hii mada (history) ni muhimu sana kwa vizazi vijavyo

Kudos to all of you JF
 
Mwalimu you're simply the best, better than all rest the better than anyone. Thanks for your dedication, ethics and love to our beloved country. We wish we had another Mwalimu. Rest in peace Baba yetu wa taifa.

Umetuachia wezi, wala rushwa wanafiki wanaopenda kujilimbikizia mali na kuweka maslahi yao mbele badala ya yale ya Taifa. We wish you were still here with us. Rest in peace our beloved leader and we will always love you.
Ni kweli mkuu. Hivi ndivyo viongozi wetu wengi walivyo.Wanapenda tuwaone kana kwamba wana akili nyingi na waheshimiwa saaana ambao bila ya wao kuwepo kwenye madaraka Tanzania haitakuwepo. Walio wengi, wamesahau kutumikia watu, wanataka kwa strategies tuwatumikie wao kwa kulipa kodi, huku wakiilea na kuendeleza rushwa na kufuja mali za umma.
Viongozi walio wengi hawako karibu na wanaowaongoza hivyo wamepoteza sifa kama viongozi na ndio maana wanatumia muda mwingi kujaribu kuzima ukweli kuwa mambo hayaendi sawa.
Namheshimu Mwalimu kama kiongozi wa kweli wa Taifa letu. Baada ya yeye, mmmh. Sidhani!!
 
Nderemo na vifijo wakati wa kuapishwa mbunge mpya busanda


Mbunge wa Busanda Mh. Lolesia Bukwimba (mbele kulia) akisindikizwa na wabunge wanawake wa CCM kuingia Bungeni ili kula kiapo leo mjini Dodoma.
 
Oscar_Kambona.jpg
Oscar Kambona (1928-1997),
lifelong champion of Tanzania's
struggle for independence and
democracy.
 
Back
Top Bottom