Dah...hizi dawa kabla hata hujameza (kile kiharufu tu) unapata kichefuchefu! Na baada ya siku mbili unaaza kuwashwa🙁🙁Chloroquine dawa ya malaria
Hiyo ni balaa na kristapen achana nazo aisee! halafu kuna klorokwini ni chunguquinini
Ha ha ha haaa. Wewe bwana, pole sana. Ila hizi sindano unatakiwa ukichomwa utulie, ukitembea utaona vitu vya ajabu mwilini mwako.Aisee siisahau kristapen. Nilipigwa hii sindano baada ya hapo nikaona mgu mmoja mfupi na mwingine mrefu. Nilikiwa chiba kwa muda.
Mimi ni dawa yangu mpaka kesho. Maduka mengi ya madawa waliacha kuuza ila unapoenda clinic nje ya nchi unaambiwa aftter 50 years inabidi uwe unameza baby Aspirin kwa ajili ya moyo wako. Wameenda mbali na kusema kuwa inaweza kuzuia cancer. Nimesoma tu ila mimi siyo muganganuzi wa kuganganua.Aspirin
nakumbuka wimbo kwenye radio ya kenya: Cafenol ni bora kuliko asprini peke yakeeeee, hutuliza maumivu kichwa mafua na fluuuu mengine nimesahau. hahahhaCafenol, masharubu, aspro, Andrew liver salt, Cofta nk
Webalequinini
Hahahaha du kumbe wazee wengi,nakumbuka wimbo kwenye radio ya kenya: Cafenol ni bora kuliko asprini peke yakeeeee, hutuliza maumivu kichwa mafua na fluuuu mengine nimesahau. hahahha
Yaa unapimwa na themometa, unasubiru kuitwa na drDah...hizi dawa kabla hata hujameza (kile kiharufu tu) unapata kichefuchefu! Na baada ya siku mbili unaaza kuwashwa🙁🙁
BTW, nimekumbuka pia zamani disspensary nyingi (hasa vijijini) hawakuwa na kipimo cha malaria (walikuwa hawapimi damu kama sasa). Nakumbuka sanasana walikuwa wanapima joto tu!
Andrews (sina uhakika na spelling) Dawa ya tumbo,ni ya unga unaitia kwenye maji inafanya kama kuchemka kisha unainywa faster.