Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

Mbona kama mwanangu, 2014 alipata chanjo inayoacha alama ya ndui
Kapata chanjo...yuko salama...ilifanyikia shule au hospital....kulikuwa na magari ya serikali yenye namba GT......???anyway yote ni kheri tu.
 
salimia
nakumbuka nilikuwa nikiikuta dukani afu nikisoma SALIMIA nikiingalia ile chupa kuna mtu kavua shati nikawa najua eti hajamsalimia yule jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…