Magnesium au milk of magnesium.Mg ya tumboo
TetracyclineRANGI MBILI
jina la kitaalamu sijui
Mist expect sedKuna moja ya kifua ilijulikana kama " Mkojo wa Punda ".
Tetasaikrini... ahahahahahaRANGI MBILI
jina la kitaalamu sijui
[emoji38] umenichekesha sana..Aisee siisahau kristapen. Nilipigwa hii sindano baada ya hapo nikaona mguu mmoja mfupi na mwingine mrefu. Nilikiwa chiba kwa muda, kwa kuwa nilikuwa chalii, ilibidi wanibebe mgongoni.
[emoji38] inatuliza homa kali pamoja na flu mara moja.. nilikuwa nakapenda kawimbo ila dawa sasa....!Aspro ni dawa ya kweli...kweli [emoji13] [emoji13]