Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

Nusu kaputi, dawa za kulevya wakati wa kufanyika operesheni.
 
DAL-Packshot-Range-300-X-600-01-Copy.jpg
410977.jpg
salima_creme_both.jpg


Hapo vipi ?
 
Aisee siisahau kristapen. Nilipigwa hii sindano baada ya hapo nikaona mguu mmoja mfupi na mwingine mrefu. Nilikiwa chiba kwa muda, kwa kuwa nilikuwa chalii, ilibidi wanibebe mgongoni.
[emoji38] umenichekesha sana..
 
My Cota pouder, dawa ya fangasi za miguu.
 
Back
Top Bottom