THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Nimekaa nikawaza hapa tu lengo la kumvua uanachama Nchimbi ni lipi?
Nikiwa sijapata jibu la swali hilo mara gafla akili ikaniambia rejelea Hadidu rejea za Tume ya Jaji Lila,
wakuu moja ya hadidu rejea ya Msingi na ya kwanza kabisa iliyopewa Tume ya Jaji Lila..Ni kina nani wahusika au waliopanga yale waliyoyaita wao maasasi ya MO29.
Tusijeshangaa Jina la EMN likawemo.