Tukumbushane kampuni, mabasi na vengine vilivyo vuma tanzania miaka 2000 kushuka chini

Tukumbushane kampuni, mabasi na vengine vilivyo vuma tanzania miaka 2000 kushuka chini

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mimi nakumbuka kuna mabasi yalikuwa yanaitwa Saibaba,mtoto wa simba.

Tukija wanamuziki kulikuwa three sister enzi hizo za ITV wadada fulani swaga za ulaya,mtoto wa dandu,msondo ngoma.

Upande vitu navyo kumbuka Airport ya dar ilikuwa free kuingia juu kuangalia ndege.

Lengine ilikuwa si rahisi watu wa kigoma kupanda mabasi zaidi ya treni.
 
Kuna Huyu Kaka Voda ni nani ? .Na yeye alitamba sana
Kweli we chizicom kwani vengine ni kitu gani au uchiz wako ndiyo unakufanya usijue voda ni kampuni

Basi sawa edit heading yako futa hiyo vengine halafu futa na hiyo nukta isisomeke kampuni, mabasi then type kampuni ya mabasi ndiyo mimi nitakutajia Shambalai na bembea
 
Id yako imeenza na kikundi cha wakorofi wa gaza
 
IMG_1013.jpeg
 
Scandinavia
Hawa ofisi zao zilikuwa kule Gerezani,madereva wao walikuwa wakishafika Dar wanakabidhi vifaa ofisini then wanaingia mitaani kula raha na watoto wa Kariakoo.

Kuna siku mmoja alijisahau akaingia bar na hesabu ya bus malaya akaziiba zote wakati akimpiga blow job,alikuwa jamaa mmoja Mkenya kitambi hivi alikuja kufia Kitonga alicheza chicken sport na Scania Mende.
 
Back
Top Bottom