Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Moretco, Coletco, Sharuksi, hiyo Moro - Dar -Ifakara.Zafanana,, lambada, Taqwa.....
Moretco, Coletco, Sharuksi, hiyo Moro - Dar -Ifakara.Zafanana,, lambada, Taqwa.....
Kiswele ni songea - darKiswele: mbeya-Dar, Victoria: Iringa-Mbeya, Matema: Mbeyq-Dar, Embakasi: Dar-Mbeya, Iringa-Dar,
Saibaba bado lipo, linaenda Dar/Mtwara na Simbamtoto lipo Tanga/Dar.Siyo mtoto wa simba mkuu😆😆 ni simba mtoto
Otherwise nimelikumbuka tangazo la Joji, Pochi na mwenzao amanda nafikiri ni la voda lile
Safina, Relwe(Kyela, Tunduma, Itigi, Saza, Iringa, Arusha, Chunya na Dar), Magomamoto, Wifi, Hindocha(Tabora), Mwafrika, Teteeco(Songea).Kiswele: mbeya-Dar, Victoria: Iringa-Mbeya, Matema: Mbeyq-Dar, Embakasi: Dar-Mbeya, Iringa-Dar,
Hahhahaha!!!! Itakua lilikuwa na route nyingi mi sikupanda la hiyo route!!!!Zafanana la upareni hilooo
Najiluaaaaa
Moretco, Coletco, Sharuksi, hiyo Moro - Dar -Ifakara.
Saibaba bado ana muhogo mmoja huko kusini unachechemea Nachingwea to Dar Kwa wiki inatembea mara 3 tu 🔁Mimi nakumbuka kuna mabasi yalikuwa yanaitwa Saibaba,mtoto wa simba.
Tukija wanamuziki kulikuwa three sister enzi hizo za ITV wadada fulani swaga za ulaya,mtoto wa dandu,msondo ngoma.
Upande vitu navyo kumbuka Airport ya dar ilikuwa free kuingia juu kuangalia ndege.
Lengine ilikuwa si rahisi watu wa kigoma kupanda mabasi zaidi ya treni.
Dereva ndiyo alikua anabeba hesabu?Hawa ofisi zao zilikuwa kule Gerezani,madereva wao walikuwa wakishafika Dar wanakabidhi vifaa ofisini then wanaingia mitaani kula raha na watoto wa Kariakoo.
Kuna siku mmoja alijisahau akaingia bar na hesabu ya bus malaya akaziiba zote wakati akimpiga blow job,alikuwa jamaa mmoja Mkenya kitambi hivi alikuja kufia Kitonga alicheza chicken sport na Scania Mende.
Vipi rambo,pancha bwana,pancha na wakati kuna oko!!?Revolaaa, ahhh revolaaa ,mhhhh usisahau kutumia sabuni ya revola
Mshindi sabuni nzuri yenye povu, yenye kutakatisha kuliko yote
Gazeti la kasheshe, alasiri,
Yanga yeboyebo simba kiboko yao
Niliyapanda ndiyo maana yaliacha alama kwenye ubongo wangu.Uko vizuri una kumbukumbu
Yah,walikuwa wakifika Ubungo kuwaacha abiria wanakuja yard Gerezani ambako ndiko zilikokuwa ofisi kuu kukabidhi gari na taratibu nyengine.Dereva ndiyo alikua anabeba hesabu?