Siyo mtoto wa simba mkuu😆😆 ni simba mtotoMimi nakumbuka kuna mabasi yalikuwa yanaitwa Saibaba,mtoto wa simba.
Kweli we chizicom kwani vengine ni kitu gani au uchiz wako ndiyo unakufanya usijue voda ni kampuniKuna Huyu Kaka Voda ni nani ? .Na yeye alitamba sana
Ndiye aliambiwa na Jay Mo awaambie wadogo zake akina Langa waache unga wale mmea?Kuna Huyu Kaka Voda ni nani ? .Na yeye alitamba sana
Id yako imeenza na kikundi cha wakorofi wa gazaKweli we chizicom kwani vengine ni kitu gani au uchiz wako ndiyo unakufanya usijue voda ni kampuni
Basi sawa edit heading yako futa hiyo vengine halafu futa na hiyo nukta isisomeke kampuni, mabasi then type kampuni ya mabasi ndiyo mimi nitakutajia Shambalai na bembea
amani kwa kaka VodaKuna Huyu Kaka Voda ni nani ? .Na yeye alitamba sana
Hawa ofisi zao zilikuwa kule Gerezani,madereva wao walikuwa wakishafika Dar wanakabidhi vifaa ofisini then wanaingia mitaani kula raha na watoto wa Kariakoo.Scandinavia