Tukumbushane kampuni, mabasi na vengine vilivyo vuma tanzania miaka 2000 kushuka chini

Nakumbuka ma bus ya Scandinavian.........ndio yalikuwa habari ya mjini
Miaka hiyo ukienda kupanda basi la Scandinavia, ni kama unapanda FastJet😅
Ruti ya Nairobi alikuwa huyo Scandinavia, Mombasa raha na Akamba.
Sijui zimefia wapi.
 
Kama mtu hajatumia Floppy Disc 💾 nadhani akae tu kimya asome comments
 
Usivamie bila kuelewa
 
Revolaaa, ahhh revolaaa ,mhhhh usisahau kutumia sabuni ya revola
Mshindi sabuni nzuri yenye povu, yenye kutakatisha kuliko yote
Gazeti la kasheshe, alasiri,
Yanga yeboyebo simba kiboko yao
 
Dar - Dom
kulikuwa na mabasi yanaitwa Metro, Deluxe, Scandinavia, Champion,Superstar
 
Air shengena ilikuwa bus noma sana.

Tayasar.

Umba wale wakazi wa lushoto wanalifahamu hili bus.

Bembea
 
Kuhusu mziki
nakumbuka wasanii hawa
Mc hammer
vanila ice na wimbo wake ice ice baby ambao saleh jabil aliimba kwa kiswahili ndio ukawa mwanzo wa bnngn fleva
public enemy hawa walikvwa wanapinga ubaguz marekani
waimba rap kama onxy, run dmc, outcastaz, fugees. digable planet, 2pac, dr dre. big. pddy. mer j,
 
Siyo mtoto wa simba mkuu😆😆 ni simba mtoto

Otherwise nimelikumbuka tangazo la Joji, Pochi na mwenzao amanda nafikiri ni la voda lile
Simba mtoto, Bembea, satellite haya ni mabasi ya Tanga
 
tanganyika bus,nzega bus,hindocha bus,mmt,said ally bus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…