Tukumbushane kampuni, mabasi na vengine vilivyo vuma tanzania miaka 2000 kushuka chini

Nakumbuk kwenye tasnia ya burdan, na matangazo ya biashara, Sugu na tangazo la condom alipigiwa simu dada mmoja kutoka magomeni mapipa,
Sabuni ya komoa,
Mamake Zuchu na tangazo l Forma gold.
Seck mtangazaj wa chanel 5,
Akina Juma, Uledi na mzee Jangala walikonga mioyo saana.

Nilikuwa adicted na vijarida vya Tabasamu chombezo la burudani na lile la Bongo uhongo mtupu sijui kama yapo au laa.
 
Lile Tangazo sijui la Lotion "Mimi ni jambo dogo 😂"

Palikuwa na kitu kinaitwa ngome kongwe Zanzibar hiyo, ilarushwa tvt

Joti na Mpoki Wana perform wimbo wa Barua.

Tamthilia ya Jumba la zahabu sijui ndo ivo 😂

Enzi T.I.D nae ana actor movie ya wimbo wake ule girlfriend humo ndani yupo mpk A.Y

"Nyimbo nzima, unataja tu majina, huna vina" Afande Sele ... Anashinda anapewa Benz nyeusiii 😂

Radio Free Africa ... Fridiwaaa alikuwa na kipindi saa nne Ile, Je huu ni ungwanaaaa afu jingoo ni kitoto kinachekaaaaaaa sanaaa 😂

Buzz ni Bomba
Celtic

😂
 
Kiswele: mbeya-Dar, Victoria: Iringa-Mbeya, Matema: Mbeyq-Dar, Embakasi: Dar-Mbeya, Iringa-Dar,
Safina, Relwe(Kyela, Tunduma, Itigi, Saza, Iringa, Arusha, Chunya na Dar), Magomamoto, Wifi, Hindocha(Tabora), Mwafrika, Teteeco(Songea).
 
Mabasi niliyopanda miaka ya 95

Really no challenge- Tanga Arusha

SAS Video Coach- Dar Kahama

Bullet Video Coach- Singida Arusha

Super Kafalusu- Dar Ngara

Super Commando- Dar Ngara

Akamba- Dar Nairobi

Mashiku - Dar Mwanza
 
Nakumbuka kipindi Cha malumbano ya hoja ITV miaka ya tisini pale Kilimanjaro hotel, kilinoga Sana sio kama Cha Sasa hivi. Watangazaji walikuwa Adam Lusekelo na Abdallah Majula. Zamani Sana hiyo.
 
1. Bunda Bus (Dodoma- Mwanza- Musoma)
2. Mohamed Trans (Mwanza- Dar-Musoma) Marcopolo Andare Scania
3. Spider (Mwanza-Dar via Nairobi)
4. Super Najimunisa (Mwanza-Dar)
5. AM Bus (Mwanza-Tabora)
6. Hood (Arusha- Mbeya via Chalinze; Dodoma- Mbeya via Morogoro) Marcopolo Andare Scania na Marcopolo Torino
7. Mombasa Raha (Moshi- Musoma via Mwanza)
8. Scandinavia- hii haihitaji maelezo mengi
Baada ya ujio wa Yutong mwanzo mwanzo kabsa
1. Leina Tours (Kahama- Dar)
2. Green Star (Mwanza- Dar)
3. Princess Muro (Mwanza-Dar)
4. Ndenjela Jet (Dar- Mbeya- Sumbawanga)
5. Majinja (Dar- Mbeya-Sumbawanga)
6. Lucky Star (Dar- Mwanza)
7. Rungwe Express (Dar-Kyela)
8. Sumry High Class- Scania
9. Sebena (Dar- Kigoma)
10. Adventure Connection na Saratoga line, wakongwe wa miaka yote(Dar-Kigoma; Mwanza-Kigoma)
 
Saibaba bado ana muhogo mmoja huko kusini unachechemea Nachingwea to Dar Kwa wiki inatembea mara 3 tu 🔁
Kuna shambalai pia hivyo hivyo
 
Dereva ndiyo alikua anabeba hesabu?
 
Revolaaa, ahhh revolaaa ,mhhhh usisahau kutumia sabuni ya revola
Mshindi sabuni nzuri yenye povu, yenye kutakatisha kuliko yote
Gazeti la kasheshe, alasiri,
Yanga yeboyebo simba kiboko yao
Vipi rambo,pancha bwana,pancha na wakati kuna oko!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…