johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
CCM imekuwa na utamaduni usio wa kikatiba wa kuwepo zamu za kugombea urais wa nchi kwa misingi ya dini na kanda. Wakati wa mfumo wa chama kimoja utaratibu huu ulikuwa muafaka lakini katika mfumo wa vyama vingi zamu za kidini na kikanda zimepitwa na wakati.
Nitoe tu angalizo kwa Dr Kigwangalla na mh Jaffo kuwa 2025 mtu wa dini na kanda yoyote anaweza kugombea urais wa Tanzania kupitia CCM ilmradi tu awe ni raia mwenye kitambulisho cha NIDA.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!