johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ni utamaduni tu bwashee!Ni dhana tu kwani ni katiba ya CCM ama ni katiba ya nchi iliyoweka huu utaratibu wakipuuzi !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn hapo umewataja wajomba wawili,yani inamaana hao ni waumini wa huu utaratibuu ama vipi bwashee ?Ni utamaduni tu bwashee!
Hindu?Unataka iwe hivyo ili dini yako ishike madaraka awamu nyingi sio
Wanaamini hivyo bwashee!Lkn hapo umewataja wajomba wawili,yani inamaana hao ni waumini wa huu utaratibuu ama vipi bwashee ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaamini hivyo bwashee!