Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuhh, kauli ya kijasiri sana!''hata Real Madrid wakicheza wachezaji 15 uwanjani basi nina uhakika AC Milan tutaibuka na ushindi ktk mechi hii''.
Kauli hiyo iliporomoshwa na Kocha wa AC Milan Aligo Sacchi ktk mechi ya nusu fainali ya klabu Bingwa Ulaya mwaka 1989.
Katika mechi hiyo Real Madrid walichapwa goli 5-0.
AC Milan siku hiyo waliwakuwa na Nyota kama Galli, Tassotti, Maldini, Costacurta, Baresi, Palombo, Donadoni, Rhiijkard, Van Barsten, Gullit, Ancelotti...
Hiki ndicho kikosi kinachoaminika kuwa bora katika historia ya Soka Ulimwenguni.
Hahahahaa kisu kiligusa mfupa.chizi huyo julio-bwabwa.
Lol.....bwabwa hilo.Hahahahaa kisu kiligusa mfupa.
Si lengo la hii thread.Chizi huyo julio-bwabwa.
Zlatan Ibrahimovic : "I feel much sad when I miss a really opportunity, not a Penalty. When I score a Penalty it feels like i have just scored at Training I don't feel a need to Celebrate jumping around just for a Penalty Goal.
A really celebration comes when I scored during open play when everyone was marking, then I know that goal can be recorded with pride in my books , not a Penalty where everybody is standing behind me and only left facing a poor helpless Goalkeeper "
⚽™️
hakika 😂🤣😂😂hili ni dongo kwa C. Ronaldo... 😂 😂 😂 😂