kaka muwie radhi Raul Gonzalez Blanco a.k.a Raul MadridRG = Raul Gonzales
kaka muwie radhi Raul Gonzalez Blanco a.k.a Raul Madrid
Guti haya basi ni Ruud Gullit...
Ama?
teh teh teh,usikose leo mabingwa wa dunia na ulaya kesho j5 wapo jijini Madrid uwanja wa atletico madrid vicente calderon vs france,unakaribishwa sana,Manolo atakuwepo anatoa burudani ya ngoma atafunga baa yake pale jijini Valencia kwa ajili ya mechi hiyo wc 2014 brazil qualification
NO! Ni baada ya kufungwa 2-0 nyumbani na Zaire, Algeria tuliwapiga 2-1 kipa akiwa Steven Nemes.hutaichezea tena timu ya taifa ya Tanzania labda kama mimi sio mwenyekiti wa FAT- MUhiddin Ndolanga akimwambia Mohammed Mwameja nafikiri baada ya Tanzania kufungwa 2-1 na Algeria nyumbani mwaka 1996
Egypt(misri) walitufunga 2-1,tulikuwa kundi moja na algeria tuliwachapa 2-1 nyumbani,sudan 2-0 nyumbani,uganda 4-0 nyumbani na ethiopia 2-0 nyumbani,na zote zilitufunga kwao lakini,nakumbuka uganda walitufunga 2-0 beki 2 alikuwa juma amiri maftah pele wa mwanza,egypt alituchapa kama kawaida ye2 5-1 kule cairoNO! Ni baada ya kufungwa 2-0 nyumbani na Zaire, Algeria tuliwapiga 2-1 kipa akiwa Steven Nemes.
Companero acha kuchuma dhambi ijumaa mapema hivi...
Wewe chuki yako kwa Gaucho iwe ni ya kimoyomoyo na si ya kuianika hadharani.
Wachambuzi wa kimataifa wa Maswala ya Soka walitanabaisha kuwa ''kama mpira ungekuwa na mdomo basi kila Dakika ungesema upelekwe kwa Gaucho ili walio Mbinguni wafurahi na walio Duniani pia.
Wacha kumdhalilisha Saint Gaucho wewee.
sidhani mpaka sasa kama kuna mchezaji wa soka alieweza kumpiku Gaucho kwa kuchezea mpira
Guti haya basi ni Ruud Gullit...
Ama?
kaka muwie radhi Raul Gonzalez Blanco a.k.a Raul Madrid
"kuna wakati najisahau uwanjani na kusimama kumuangalia (jina limehifadhiwa) akicheza" - maneno haya yalitamkwa na mchezaji mmoja wa kilabu maarufu sana duniani kuhusu mchezaji mwenzake
Unajikondesha bure kwa kutomtaja Ronaldinho...
Dhamira inakusuta