Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

"The DNA of my team is back" Jose Mourinho baada ya Real kuitungua Man city.
 
Am not sure what drugs he smoking...Carlo Ancelotti akimuelezea Marco Materrazzi
 
Katapila hua lina umuhimu mwanzon wakati wa kukata miti ili kutengeneza barabara ila lami ikishawekwa linakuwa halina umuhi kwa sababu kwa uzito wake linaharibu barabara by julio alipoulizwa kwa nn hua anachukuliwa wakati timu ina matatizo (timu ya vijana wa tanzania waliposhinda nyumbani)
 
Guti haya basi ni Ruud Gullit...
Ama?

teh teh teh,usikose leo mabingwa wa dunia na ulaya kesho j5 wapo jijini Madrid uwanja wa atletico madrid vicente calderon vs france,unakaribishwa sana,Manolo atakuwepo anatoa burudani ya ngoma atafunga baa yake pale jijini Valencia kwa ajili ya mechi hiyo wc 2014 brazil qualification
 
nimeipenda hiyo ya kufungua bar tuu...
 
hutaichezea tena timu ya taifa ya Tanzania labda kama mimi sio mwenyekiti wa FAT- MUhiddin Ndolanga akimwambia Mohammed Mwameja nafikiri baada ya Tanzania kufungwa 2-1 na Algeria nyumbani mwaka 1996
NO! Ni baada ya kufungwa 2-0 nyumbani na Zaire, Algeria tuliwapiga 2-1 kipa akiwa Steven Nemes.
 
NO! Ni baada ya kufungwa 2-0 nyumbani na Zaire, Algeria tuliwapiga 2-1 kipa akiwa Steven Nemes.
Egypt(misri) walitufunga 2-1,tulikuwa kundi moja na algeria tuliwachapa 2-1 nyumbani,sudan 2-0 nyumbani,uganda 4-0 nyumbani na ethiopia 2-0 nyumbani,na zote zilitufunga kwao lakini,nakumbuka uganda walitufunga 2-0 beki 2 alikuwa juma amiri maftah pele wa mwanza,egypt alituchapa kama kawaida ye2 5-1 kule cairo
 
laiti kama ningekuwa na enzo scifo au diego maradona timu yangu ingeibuka na ushindi,kuna kocha wa nimesahau nchi aliwahi kusema maneno hayo mika ya 90 mwanzoni 1993
 
Companero acha kuchuma dhambi ijumaa mapema hivi...
Wewe chuki yako kwa Gaucho iwe ni ya kimoyomoyo na si ya kuianika hadharani.

Wachambuzi wa kimataifa wa Maswala ya Soka walitanabaisha kuwa ''kama mpira ungekuwa na mdomo basi kila Dakika ungesema upelekwe kwa Gaucho ili walio Mbinguni wafurahi na walio Duniani pia.

Wacha kumdhalilisha Saint Gaucho wewee.

sidhani mpaka sasa kama kuna mchezaji wa soka alieweza kumpiku Gaucho kwa kuchezea mpira
 
"kuna wakati najisahau uwanjani na kusimama kumuangalia (jina limehifadhiwa) akicheza" - maneno haya yalitamkwa na mchezaji mmoja wa kilabu maarufu sana duniani kuhusu mchezaji mwenzake

Unajikondesha bure kwa kutomtaja Ronaldinho...
Dhamira inakusuta
 
Back
Top Bottom