Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
"Companero na Gang Chomba ni mashabiki vichaa kwa timu zao,kama itaingia defender imejaa manjagu na wenyewe wanacheki game ya barca vs ac milan.....watasahau hata kuzima vijiti vyao vya arusha"-nimejinukuu mimi mwenyewe toka ktk mawazo yangu!lol
Hah hah hah haaah Companero muumini wa Mt Gaucho...
Mpira ni kipaji na si mazoezi.Kama mpira ni mazoezi basi tungekuwa na wakina Messi wengi kutoka katika kundi la wanamgambo kwani wao huwa wanafanya mazoezi sana na tena mchana kweupe!
Hivi Mtakatifu Petro na Mtakatifu Yohana nani zaidi? Ukiweza kulijibu hilo basi utaweza na la Messi vs Ronaldinho!
Rivaldo alisema El Prat International airport jijini Barcelona walipozomewa na mashabiki waliporejea kutoka London kwa kuchapwa 3-1 ktk robo final uefa 1999-2000 na chelsea,akadai kama wao wametuchapa kwao 3-1 na cc tunawafunga kwe2 na tutawatoa chelsea matokeo yakiwa kinyume nastaafu soka,na Barca wakashinda ingawa Rivaldo alikosa penati dk za majeruhi 90 ikaisha 3-1 wakaenda extra time wakashinda 5-1 Barca.
hata mkileta vicheche kumi lazima tuwafunge tu.ronald asis de moreira de gaucho ronaldinho.kujiandaa na mechi ya fainali dhidi ya arsenal baada ya kicheche kuonekana kwenye mechi ya nusu fainal dhidi ya villareal.
"Mimi sikucheza mechi ya leo sababu sheria za Uefa haziniruhusu kufanya hivyo lakini mpaka sasa sifahamu ni kwanini Messi naye hakucheza". Super Malio Baloteli alitoa kauli hii baada ya AC Milan kuichapa Barca bao 2 bila huku Messi akibanwa vilivyo na kupotea mchezoni.
Bwah hah hah hah hah haaaah haaaaaaaaaaaaaaaaah