Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

"Companero na Gang Chomba ni mashabiki vichaa kwa timu zao,kama itaingia defender imejaa manjagu na wenyewe wanacheki game ya barca vs ac milan.....watasahau hata kuzima vijiti vyao vya arusha"-nimejinukuu mimi mwenyewe toka ktk mawazo yangu!lol
 
Hah hah hah haaah Companero muumini wa Mt Gaucho...
 
"Yesterday was 99.9% no, today is 99.5% no," he
told reporters. "It is a situation different from that
of yesterday, but the bag is closed until tomorrow
morning..... Kauli tofauti za Adriano Galiani alipokuwa
anawaeleza waandishi wa habari Sakata la
kumsaini mshambuliaji mwenye uwezo wa ajabu
Super Mario Balotelli...
 
"I am a boss here,everyone knows i am a boss here,infact i was a boss everywhere i have worked"-jepp heyckes kocha wa bayern munich
 
Alipata kusema Rev Masanilo mwaka jana,kuwa Chipolopolo ni kama Chelsea,nimekubali maneno yake jana wakati bingwa mtetezi afcon al;ipoenda nje hatua ya awali!
 
Mpira ni kipaji na si mazoezi.Kama mpira ni mazoezi basi tungekuwa na wakina Messi wengi kutoka katika kundi la wanamgambo kwani wao huwa wanafanya mazoezi sana na tena mchana kweupe!
 
Mpira ni kipaji na si mazoezi.Kama mpira ni mazoezi basi tungekuwa na wakina Messi wengi kutoka katika kundi la wanamgambo kwani wao huwa wanafanya mazoezi sana na tena mchana kweupe!

Hizo pumba Nani alipata kunena?kamwambie alichemsha mgambo hawafanyi mazoezi ya mpira,kusoma usome physics pepa ukapige la biology?
 
You will never win anything with kids! Allan Hansen, the football pundit! Aliyatoa maneno hayo kwa Ferguson baada ya kikosi chake cha 1995-96 kujaza vijana tupu na kula 3-1 mechi ya ufunguzi wa ligi, lkn Man Utd walibeba ubingwa mwisho wa msimu huo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi Mtakatifu Petro na Mtakatifu Yohana nani zaidi? Ukiweza kulijibu hilo basi utaweza na la Messi vs Ronaldinho!

Messi juzi alikuwa anajambajamba tu...
Kashindwa kuisaidia Barca kulalwa bao mbili dhidi ya sungusungu wa Milan matokeo yake Messi akakalishwa kwenye kibao cha mbuzi kisha akatindwa nyusi, akapakwa hina, akapakwa maskhara na vipodo vingine...

Messi ushuzi tu
 
'Prediction! What is prediction? ... My English is not good' by Milovan wa Simba akihojiwa na S9 juu ya utabiri wake katika mechi mojawapo za CECAFA 2012 Simba ilipokuwa ikijiandaa kujitupa uwanjani Dar.
 
Marehemu Sekou Bamba alipokuwa ASEC 1995,walicheza na Simba taifa 1st gem Abidjan Asec walishinda 2-1 Abdoulaye Traore alikula red card kwa kumpiga kiwiko Hussein Amani Marsha,alipokuwa DIA uwanja wa kimataifa wa ndege Dar wakati huo unaitwa hivyo,alitamba Sekou Bamba kuwa Simba wakiwatoa anastaafu mpira na akaahidi anafunga goli na akafunga Simba alilala tena 1-2 taifa ikawa 4-2 jumla katoka Simba.
 
Rivaldo alisema El Prat International airport jijini Barcelona walipozomewa na mashabiki waliporejea kutoka London kwa kuchapwa 3-1 ktk robo final uefa 1999-2000 na chelsea,akadai kama wao wametuchapa kwao 3-1 na cc tunawafunga kwe2 na tutawatoa chelsea matokeo yakiwa kinyume nastaafu soka,na Barca wakashinda ingawa Rivaldo alikosa penati dk za majeruhi 90 ikaisha 3-1 wakaenda extra time wakashinda 5-1 Barca.
 
Hii game kabla haijaanza washabiki wa Barca walijipanga kwenye viti wakasomeka 5-1...
Figo alisema niachieeni jukumu la hii mechi.
 
tusiwadanganye watanzania tukawaibia ooh uturuki uturuki hakuna chochote zaidi ya kubebwa-------- thoomas kifaru rugarabwike msemaji wa mtibwa--mtibolo
 
hata mkileta vicheche kumi lazima tuwafunge tu.ronald asis de moreira de gaucho ronaldinho.kujiandaa na mechi ya fainali dhidi ya arsenal baada ya kicheche kuonekana kwenye mechi ya nusu fainal dhidi ya villareal.
 
Asante.........
 
"Mimi sikucheza mechi ya leo sababu sheria za Uefa haziniruhusu kufanya hivyo lakini mpaka sasa sifahamu ni kwanini Messi naye hakucheza". Super Malio Baloteli alitoa kauli hii baada ya AC Milan kuichapa Barca bao 2 bila huku Messi akibanwa vilivyo na kupotea mchezoni.
 
Bwah hah hah hah hah haaaah haaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Back
Top Bottom