Tukumbushane kazi alizofanikisha Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Mbona mnayamurika kwa tochi mafanikio asiyostahili!
Leo nimekutana na veteran mmoja aliyezuia ma lory ya mafuta kwenda nje ambayo hayakuwa yametimiza mashariti...yaliyomkuta...hatasahau😡!
Yapi hapo ambayo hastahili? Nitajie miradi mitano mikubwa mitano tu aliyofanikisha Magufuli ndani ya miaka 5
 
Haya wewe ambae ni cream naomba unitajie miradi mitano tu mikubwa ambayo ameifanya Magufuli na imeisha ndani ya miaka 5 aliyoongoza.
Hakuna kitu Mkuu zaidi ya Daraja la Mfugale na la Ubungo Mataa. Angalia hata haka kabarabara ka Mwenge -Morocco, ni Km 6 tu alianza Sherehe za Uhuru 2015 mpaka leo bado wanajenga.

Ile ya Kimara- Kibaha njia 8, wamejaza mapipa tu barabarani. Mimi ndiyo maana namuona alikuwa kichaa, anabomoa nyumba za wananchi, hawalipi fidia na babara haimaliziki.
 
Haya wewe ambae ni cream naomba unitajie miradi mitano tu mikubwa ambayo ameifanya Magufuli na imeisha ndani ya miaka 5 aliyoongoza.

Mimi niko kwenye field ya construction mzee, hakuna mega project yenye wealth kuanzia 300billion above inayoweza kamilika within or less than 5yrs iwe Building or Civil work, yote huwa inaweza chukua above of 5yrs tena with full commitments! Mfano mdogo huyo wa Msoga mradi wake wa Terminal 3 Kipawa wenye wealth around 540billion mbona haukukamilika ndani ya his tenure of 10yrs mpk kuja kukamilika awamu ya 5? Hata iyo Mwendokas tu ilifel ilikuja kuwa handed over 2016!
 
je mkandalasi angemaliza bila pesa?

Hayo majengo yote ya wanajeshi tafuta nani alikuwa mkandarasi na ndio hapo utajua kama Mkwere alikuwa anapiga pesa au la!!! Kikwete alikuwa Rais fisadi kuliko wote waliotamgulia.! Ni Rais aliyethamini ushikaji katika teuzi zake kuliko MERITOCRACY! Kikwete alikuwa anateua washikaji zake kuwa maDC wenye kiwango cha elimu ya UPE!!
 
I new him than you did! Hakuwa na huo uwezo unaompatia. Alikuwa wa kawaida mno,kuanzia shuleni,chuoni na kwenye utumishi wake. Sema alikuwa mjanjamjanja,muongo,and very manipulative!
 
Kuna barabara ya Musoma - Arusha mpaka leo inasuasua. Wakati wa jK tayari ilishaanzwa kujengwa baada ya hapo hakuna kitu inachechemea
 
Hizo stand za kisasa na barabara zenye mataa ni pesa za mikopo kutoka world bank ambazo aliacha amesaini JK. Hiyo siyo initiative ya Magu.
 
Ubongo mataa interchange ni pesa ya Wajapani,alitafuta Kikwete.q
 
Kama uko kwenye construction na ukiangalia vizuri project ya Terminal III huwezi kushangaa kwa nini ikichelewa. Instead unapaswa kwanza umpongeze JK kwa kutoa fidia kwa wananchi wa Kipawa na Jet ambao maeneo yao yalichukuliwa.

Yule Mwendawazimu amebomoa nyumba za wakazi wa Kimara- Kibamba na akakataa kuwa compensate pamoja na kwamba walikuwa na court injunction ya Mahakama Kuu.

Kwenye miradi ya ujenzi variation ya kumaliza mkataba mpaka 20% delay siyo weakaness instead ni ku accommodate factors za nature ya force majeure
 
Magufuli amefanya makubwa sana zaidi ya hayo ndani ya muda mfupi sana
 
Mzee Ruksa alipokuwa akiongea na wasomi pale UDSM... alitamka kwa sauti kuu "nchi ina ombwe la uongozi..." wiki iliyofuata akaitwa magogoni ndipo alipotamka "...nchi haijapatapo kuwa na rais kama wewe... umetushinda sisi ssooote kwa haya uliyofanya kwa muda mfupi!!" Wenye akili walielewa maana uchaguzi uliofuata tunajua kilichoendelea Zenji
 
Misukuke ni nyie akina Hero ambao bado mnamuabudu DIKTETA tuliyemzika Chato. You can also follow him, but he was ejected by our Almighty God because of his wrongdoings
Pungu kabisa ww 'mtakatifu' ambaye Mungu anaendelea kukuruzuku kúpumua na kuwapaka matope watumishi wa Mungu! Mie siwezi kuwa msukule! Ile ninashaka sana na maisha yako uliyoishi...ya kimsukulesukule ndio maana kila mtu unamtamkia kilichojaza moyo na fuvu lako ' msukule!
JPM unforgettable hero, 💔 rest in eternal peace and power in the name of Might God, amen🙏!
 
Yapi hapo ambayo hastahili? Nitajie miradi mitano mikubwa mitano tu aliyofanikisha Magufuli ndani ya miaka 5
Asiyejua maana usimwambie maana! Kipofu kama ww hata nikikuonyesha huwezi ona😜!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…