Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

Nchi ilishakombolewa na TANU na ASP, wanaotaka mapinduzi mengine ni wapumbavu na malofa, ni wajinga- Mkapa
Wanaume mnaotaka mabadiliko bebeni mimba- Mkapa
Mtaenda kazini mkiwa na bandeji na pop- Jakaya
Mkimaliza kupiga kura nendeni majumbani mwenu sasa kalindeni kura muone- Jakaya
 
Usinifokee

Jr[emoji769]
 
Mia 9 itapendeza Dr. Shika
Usipokubali kuliwa na we huli. Jk
10mil ni hela mboga Tibaijuka
Hapa kazi tu Jpm
Ngunguri ngangari Lipumba
Mtaji wa maskini ni nguvu zake Mkapa
Wapigwe tu make hakuna namna Pinda
Amfifilo GwajBoy
Nk
Umenikumbusha Enzi za CuF na Jeshi la Polisi chini ya IGP Mahita.

Aliwaambia kama CUF ni Ngangari basi yeye na Jeshi la Polisi ni Ngunguri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…