Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,732
[emoji23]Msiniulize, nmerudi nyumbani,-lowasa
[emoji23]Usitufokee
[emoji111][emoji111]Mzee baba
utapata tabu sanaHabarini wana Jamii Forums Leo nimekuja na hoja kama ilivyo apo kwenye title.
Tunajua Tanzania kuna misemo mingi ilishawahi kutokea na hivi sasa kuna misemo ndio Inavuma 'WAJUMBE na USINIFOKEE'.
Toa msemo wako unaoukumbuka ulio wahi kutrend apa nchini
hilo lilishakufa,mbadala wake tunasema "jiongeze au pambana na hali yako""Utajiju" nadhani ndio neno maarufu mpaka leo
Ila hiyo ya mkwara wa membe ya niguse ninuke hadi leo naiwazia sana yaani nilikuwa natamani sana aguswe halafu nione ananukaje.Kipigo cha mbwa koko
Kama mbwai na iwe mbwai
Shosti
Utapigwa mpaka uchakae..
Za kuambiwa changanya na zako
Mkate kidafu
Mwaga mboga nimwage ugali
Niguse ninuke
Amfifiro
Mtakula ubwabwa na kuku
Piga tu
Kunyea ndoo
Lupangi
Mangelepaa
Korokoroni
Sege dansi
Weka kigingi niweke jiwe
Bashiteutapata tabu sana
Aliambiwaga Eric Shigongo na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha wa CCM Mama Zakia Meghji.Kunywa maji mwananguu
Ahahaha daaah CCM hatari sana..Aliambiwaga Eric Shigongo na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha wa CCM Mama Zakia Meghji.
Alipoenda kudai hela yake pale Lumumba.
Afu eti Kuna mijanaume mizima inatumia haka ka msemo.kwio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado yuko ccm huyo ShigongoAliambiwaga Eric Shigongo na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha wa CCM Mama Zakia Meghji.
Alipoenda kudai hela yake pale Lumumba.