Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

Habarini wana Jamii Forums Leo nimekuja na hoja kama ilivyo apo kwenye title.

Tunajua Tanzania kuna misemo mingi ilishawahi kutokea na hivi sasa kuna misemo ndio Inavuma 'WAJUMBE na USINIFOKEE'.

Toa msemo wako unaoukumbuka ulio wahi kutrend apa nchini
utapata tabu sana
 
Kipigo cha mbwa koko
Kama mbwai na iwe mbwai
Shosti
Utapigwa mpaka uchakae..
Za kuambiwa changanya na zako
Mkate kidafu
Mwaga mboga nimwage ugali
Niguse ninuke
Amfifiro
Mtakula ubwabwa na kuku
Piga tu
Kunyea ndoo
Lupangi
Mangelepaa
Korokoroni
Sege dansi
Weka kigingi niweke jiwe
Ila hiyo ya mkwara wa membe ya niguse ninuke hadi leo naiwazia sana yaani nilikuwa natamani sana aguswe halafu nione ananukaje.
 
Back
Top Bottom