Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

Tukumbushane kidogo misemo iliyowahi kutokea hapa nchini kwetu

"Sukari" mnaionaje wadau
si Kama imeshakuwa msemo uliowahi kutokea
 
Habarini wana Jamii Forums Leo nimekuja na hoja kama ilivyo apo kwenye title.

Tunajua Tanzania kuna misemo mingi ilishawahi kutokea na hivi sasa kuna misemo ndio Inavuma 'WAJUMBE na USINIFOKEE'.

Toa msemo wako unaoukumbuka ulio wahi kutrend apa nchini

“We Oolisikia wapii”? Mheshimiwa
 
Back
Top Bottom