Hamza Nsiha
JF-Expert Member
- Jul 25, 2022
- 221
- 197
Kuna muda ahadi zetu feki (ahadi za uongo) ndizo zinazowachelewesha watu wenye shida kukutana na majawabu sahihi ya shida zao, kama huna nia ya kutoa msaada kwa mtu ni kheri usitoe ahadi kwani anaweza kuweka imani yake na kusubiri suluhisho la tatizo lake kutoka kwako.......