Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
kila mtu ajiulize imeitendea nini Nchi CCM , je tuko kwenye muelekeo sahihi kisha afanye maamuzi .
nadhani historia ya Nyuma kwa CCM ndio kipimo kikubwa zaidi haihitaji kukusanyana na kupeana maneno matamu au vyama vya upinzani kutuambia uzuri au ubaya wa CCM .
View attachment 3084066
Kutoka maktabaWapi viongozi wa juu wanajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji 2024 tuone picha Rais, makamu wa rais wakijiandikisha kwa 2024
TOKA MAKTABA:
Viongozi wakijiandikisha katika chaguzi zilizopita picha ya kwanza Mwalimu Nyerere na ya pili rais wa Zanzibar Aboud Jumbe, hii ni mwaka 1980 ili kuhamasisha wananchi kujiandikisha ...
View attachment 3084068
Huwa napenda hapo pa acha waandamane.....wajinga wale ..🤣🤣CCM ni ile ile! Chama ni kile kile! Na wizi wa kura nao utakuwa pale pale!
Hivyo wapimzani chukueni hatua mapema. Kinyume na hapo, tusisikie malalamiko.