Tukumbushane kuelekea chaguzi 2024/ 2025 kuwa CCM ni ile ile na chama ni kile kile ,chaguo ni lako .

Tukumbushane kuelekea chaguzi 2024/ 2025 kuwa CCM ni ile ile na chama ni kile kile ,chaguo ni lako .

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
kila mtu ajiulize imeitendea nini Nchi CCM , je tuko kwenye muelekeo sahihi kisha afanye maamuzi .

nadhani historia ya Nyuma kwa CCM ndio kipimo kikubwa zaidi haihitaji kukusanyana na kupeana maneno matamu au vyama vya upinzani kutuambia uzuri au ubaya wa CCM .
 
Wapi viongozi wa juu wanajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji 2024 tuone picha Rais, makamu wa rais wakijiandikisha kwa 2024

TOKA MAKTABA:
Viongozi wakijiandikisha katika chaguzi zilizopita picha ya kwanza Mwalimu Nyerere na ya pili rais wa Zanzibar Aboud Jumbe, hii ni mwaka 1980 ili kuhamasisha wananchi kujiandikisha ...

1725172410028.png
 
CCM ni ile ile! Chama ni kile kile! Na wizi wa kura nao utakuwa pale pale!

Hivyo wapimzani chukueni hatua mapema. Kinyume na hapo, tusisikie malalamiko.
 
Mwaka 1980 Mwalimu Nyerere akikabidhi kadi kwa mwana CCM mpya aliyemaliza kozi fupi ya kukijua chama Kigoma Tanzania

1725173059702.png
 
Kama kutatokea Chama ambacho kitakuwa tayari kuuza nchi zaidi ya Chama kilichopo atafute Wateja ambao atawauzia nchi kwa bei rahisi zaidi ya inavouzwa sahv then hapo ndio Chama kinaweza kupata Dollar na baada ya hapo kama kitaweza kubadili Mambo hapo sasa kwasababu at least wanaweza wakawa na access ya baadhi ya mambo ila wazingatie kuyalinda Maslahi ya wateja wao
 
Wapi viongozi wa juu wanajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji 2024 tuone picha Rais, makamu wa rais wakijiandikisha kwa 2024

TOKA MAKTABA:
Viongozi wakijiandikisha katika chaguzi zilizopita picha ya kwanza Mwalimu Nyerere na ya pili rais wa Zanzibar Aboud Jumbe, hii ni mwaka 1980 ili kuhamasisha wananchi kujiandikisha ...

View attachment 3084068
Kutoka maktaba
 
CCM ni ile ile! Chama ni kile kile! Na wizi wa kura nao utakuwa pale pale!

Hivyo wapimzani chukueni hatua mapema. Kinyume na hapo, tusisikie malalamiko.
Huwa napenda hapo pa acha waandamane.....wajinga wale ..🤣🤣
 
Back
Top Bottom