Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

Tukumbushane Lugha ya Kifaransa

La Fin de l'annêe s'approche. Que Souhaitez vous pour la nouvelle Année 2021?
 
Kujifunza Lugha ya kimataifa ni kujipatia ufunguo ndani ya dunia ya kisasa.
 
Tuanze kufarijiana kwa makalima mazuri ya kifaransa.
Je vous souhaite bonne vacance. Pensez à Moi tous les jours
Tanzania wanaishi Watanzania wazungumzao lugha yao nzuri ya taifa inaitwa Kiswahili. Peleka ujinga wako wa Kifaransa kwa wafaransa wauwaji wa viongozi wetu wa Afrika. hatutaki kuendekeza ukoloni mamboleo hapa nchini kwetu, hutaki hama nchi, halaaaa!
 
Lugha ni njia ya mawasiliano kama tunavyotumia magari kusafiria. What is wrong ukinunua gari la Japan ama Ulaya??? Nao ni ukoloni??? Fikicha akili yako kidogo embu
 
Sio lazma uchangie hìi mada. Kama inakukera potezea mbali. usipoteze muda na mb zako bure.
Wanaojielewa watashiriki.
 
Google translator inasaidia sana ukisoma comments waweza ogopa mtu ila physically ukikutana na mtu waweza cheka nusu yakufa
 
Lugha ni njia ya mawasiliano kama tunavyotumia magari kusafiria. What is wrong ukinunua gari la Japan ama Ulaya??? Nao ni ukoloni??? Fikicha akili yako kidogo embu
Sawa, lugha ni njia ya mawasiliano....hao wanafaransa wanajali lugha yetu? Toa ujinga wako hapa, rudi shule upate maarifa.
 
Back
Top Bottom