Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Umekosa mengi sana hata papuchi za kontena jipya haujatafuna,inabidi urudi hata ukasome masters ya DS kama mkuu wa wilaya ile😂😂
 
Kwa huu uandishi wako wa kuchanganya a na ha, u na hu ulisoma UDSM ya wapi, si mnasemaga nyie ni cream ya taifa au ndiyo unathibitisha nyie ndiyo jalalani pro max?!
 
Umeniangusha hiki Kiswahili aisee. Kwa kiwango chako , na namna unajigamba hivi, hukupaswa kuwa mbovu hivi wa lugha. Shato poLi? ...huwaI..?Hasikwambie?

Unakiangusha chuo chetu jamaa, dah! Kama kweli unajipenda na kukipenda chuo chako, hariri hili andiko. Ninajua unaweza usione makosa, omba msaada. Kutokana na muktadha, hukupaswa kukosea hata herufi moja.
 
ulisoma nini UDSM ??
 
wewe unareflect maisha ya udsm 2007 bila shaka au nyuma kdg.

mti wa mdegri wa kivuli ungali upo hai? Au ulishakatwa!

Hiv Bush-mikopo-daruso!
Aliishia wapi?

Kuna kijamaa kimoja nilikuwa nakiona sana mabibo block D,
2005-08 hapo.
Siku hz nina kifananisha mtangazaji fulan wa TBC..jina limenitoka

Nyakati zimebadilika,
bila marticulation test hujapata admission.

2017 nilipita mazingira ya udsm.
wanachuo kikuu wa kileo pale udsm
ni vivulana vidogo vidogo sana na tudada vyao, halafu vinyonge!
 
Bush bwana, akaongoza mgomo wa boom, chuo wakamuangaliaaa, alipomaliza tu wakamchukua wakamuweka pale utawala ashughulikie mikopo, sasa nenda pale sijui jina lako hujaliona boom blah blah blah, anakujibu shit mpaka unataka kuzimia! Huwezi amini km ndo yeye aliyekuwa anateswa na mkopo mpaka kuwa kiongozi wa migomo!
 
Ila chuo kulikuwa na mambo mengi ya kujifunza nje ya masomo. Mfano kulikuwa na kaka mmoja anauza 'chupi' , akipita nje ya vyumba anaita pichu pichu. Kuna siku nikamuuliza hii kazi inakunufaisha? Akasema anasomesha wadogo zake kadhaa kwa biashara ya chupi na mambo madogo madogo hayampigi chenga! Alikuwa anavaa smart na begi lake la chupi km kabeba laptop kumbe anapiga business na inamuingizia. Heko kwake, anaambia wadada "nunueni chupi jamani , sio unavaa chupi imeisha, imechokaa, ukisimama mbele ya feni mjupi unapepea ", hahahaaaaa
 
Tuliosoma MUCE tunaweza kushikiri huu uzi ?
 
Kwa tuliosomea nje haya yote hatuna habari nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…