PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Alikuwa dem?Kuna chizi Fulani alikua anaitwa Mawazo, masela walikua wanamuosha fresh wanampa msumari wa nyama. Chezea ugwadu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa dem?Kuna chizi Fulani alikua anaitwa Mawazo, masela walikua wanamuosha fresh wanampa msumari wa nyama. Chezea ugwadu
HahahaYaani ni shida, mwaka jana mtoto wa bro alikuwa anamalizia Education si kapewa mimba na mchoma chips anarudia mwaka sasa. Shenzy taipu.
Tupe kisa mkuuNimewahi kula Mama mtu mzima Hall 3 mule bao zangu 2 safi
Mimi Kama mjumbe naahidi kukupigia kuraIle room yangu floor 6 1289 ndo jk alikua anaishi pia
You never know ndo nimeanza harakati keshokutwa narudisha form
Umeolewa?Eh kumbe, sijawahi fuatilia..kweli nilitumwa Chuo kusoma😃
Yaani uko UDSM halafu unaponea lishangazi? Na wanyama wote waliozagaa pale?Niliwahi kupata mshangazi (lilikuja chuo kusoma LLB) ila alikua kazini tayari (Askari polisi) siku akaniita room kwake hall 3 aisee nilipiga mashine toka saa 9 mchana Hadi saa 1 bao 3 ila natafuta bao la pili Kondom ikapasuka kustuka wazungu hawa
NdioUmeolewa?
Nilidhani bado.Ndio
Vp unataka kunioa tena😃?
Kusaja si alipewa asante ya kubakishwa chuo. Bwege kweli yule.
mngewaibukiaNlikaa block D miaka yote tulikuwa rukichungulia madem block B au C sikumbuki vizuri walikuwa wajinga kinyama wakifika wanafungua madirisha wanalala uchi kabisa na walijua huwa tunawaangalia walitufanyia makusudi
Mimi nimepita hapo mpaka namaliza boom buku (1,000) kipindi cha Professor Ruanga! Engineering ilikuwa na jumla ya wanafunzi 200 na kati ya hao jumla ya wasichana/wanawake walikuwa 7 tu FoE nzima. Chezea FoE wee!Sisi tumepita hapo boom 2,500 TZS/day. Kipindi hicho, mgomo na kufukuzwa chuo jambo la kawaida tofauti na Sasa Makada ndo viongozi wa DARUSO.
Wana bahati sana enzi hizo hakuna simujanja. Wangetrendi kama Mwamba wa Guinea-Bissau.Nlikaa block D miaka yote tulikuwa rukichungulia madem block B au C sikumbuki vizuri walikuwa wajinga kinyama wakifika wanafungua madirisha wanalala uchi kabisa na walijua huwa tunawaangalia walitufanyia makusudi
Wakati nasoma hapakuwepo cha Mabibo wala cha nini? Wote mwendo wa Hall 1 mpaka 7. Hall 3 na Hall 7 ndo zilikuwa za jinsia ya kike! Enzi hizo mwanafunzi wa UDSM alikuwa anaheshimika! Siku hizi ni vitoto vidogo maneno mengi kelele fujo mlegezo simu headphones 🎧 uzinzi ulevi kubett, (...ongezea na yako....); kwa ufupi ni shiiidaaah!Unajua JF sio FB kuna Wazee humu nashangaa umesoma UD wakati wa Mabibo Hostel alafu unawakoga wenzio eti enzi zetu
Professor Penina? CADO/CACOEnzi hizo Makamu Mkuu wa Chuo ni Mathew Luhanga! Taaluma yuko Prof. Mayunga Nkunya, Fedha Prof. Yunus Mgaya!!
Hakika Udsm ilikua ni 🔥🔥🔥! Dk mbili tu, KUNJI!!! 😁😁😁 Revolution Square!!!
Yeah...Hall 1, 4 na 6 mchanganyiko. 2 na 5 me tu.Wakati nasoma hapakuwepo cha Mabibo wala cha nini? Wote mwendo wa Hall 1 mpaka 7. Hall 3 na Hall 7 ndo zilikuwa za jinsia ya kike! Enzi hizo mwanafunzi wa UDSM alikuwa anaheshimika! Siku hizi ni vitoto vidogo maneno mengi kelele fujo mlegezo simu headphones 🎧 uzinzi ulevi kubett, (...ongezea na yako....); kwa ufupi ni shiiidaaah!
Kwenye Kunji hilo tuliwafungia wafanyakazi ofisi kuu na kuzima AC Ili waonje joto la Dar.Haabari wadau..!
Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa.
Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo Boom liongezwe watoto wa mama hawataelewa.
Maandamano yalianzia Revo Square sijuhi kama watoto wa leo wanaijua Revo Square watu wakatolewa lecture room wajoin movement watoto wa mama wakakimbia ila watoto wa mbwa tukaingia mtaani tulivyofika Mlimani City mabomu yalipigwa kama yote vile tukapoteana.
Kipindi hicho kuna wale wajamaa ndio wakuu wa vyuo wanajiita Tripple M yaani Mkandala,Mgaya na Maboko.
Mgomo ulipoisha chuo kizima tulirudishwa nyumbani kwa mda usiojulikana,baada ya kurudishwa tena sisi waanzilishi wa mgomo tukafukuzwa ila mm nikafanya harakati sikufukuzwa.
Mwaka wa kwanza nilipata room mabibo hostel pale maisha yalikuwa powa sana wale wa mwaka wa pili na kuendelea tukawa tunawabeba yaani kitanda chembamba mnalala wawili kana mpo lupango vile ,usiombe umbebe mtu mrefu.
Mwaka wa pili inabidi huwai chuo kabla akijafunguliwa ukatafute mtu wa kukubeba (kushare naye kitanda).
Ukiwa mwaka wa kwanza ni ngumu sana kupata demu wengi wanadharau mwaka wa kwanza,ila mwaka wa pili ndio mwaka wa kupata demu inabidi uliwahi konteana jipya (first year),asikwambie mtu hapa watoto wa mwaka wa kwanza wanamegeka kiurahini sana .
Boom likiingia safari za mlimani City ,Survey ,Ambiace n.k ila boom likikata tunaanza kupiga pasi ndefu kama hatuna akili nzuri hata lectures hazipandi kipindi hiki mademu wasio na msimamo wanaanza kujiuza ili wapate pesa za kujikimu,yaani kama una demu anaweza kukusaliti boom likikata.
Kipindi cha boom likikata wahuni tunaanza kugonga RB (Rice Beens) wali maharage ambao bei yake ilikuwa 600/=Boom likikata watu wanaanza kusifia wali mahatagr wa Cafe 1 na Coet ndio mtamu.Wazee wa bibo wanapiga tu shato pori mwendo wa kutembea kwa mguu toka main campus aibu washikaji wakikuona wanajua umefua.
Kuishi mabibo ni mateso hakukuwa na Kijazi Flyover foleni mtindo mmoja usishangae kutoka bibo mpk campus ukamaliza masaa zaidi ya matatu ubungo mataa.kukosa lecture au kuchelewa test kawaida kisa foleni ya ubungo mataa.
Hujamtaja Tweve kama 2003 au 2004 hivi.Waanzilishi wa kunji David Silinde, Odong Oduar, Stephen Owawa.