Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Tanzania hii hakuna experience nzuri kama kusoma sekondari kwenye hizi shule kongwe na kusoma degree yako pale UDSM (Mlimani lakini) wale wa Mkwawa na DUCE hii experience hawawezi kuijua!
 
Block D 2006 tujuane.

Nilikuwa na kadem ka sociology kalikua kanakaa Block A.

Basi ulikuwa mwendo wa kuchedana tu.

Popote ulipo Rose B, mueleze ukweli mumeo Mimi memento ni nani
We muhuni ndio umeniharibia dem wangu aliyeniacha kijjn
😂😂😂
 
"Tetemeko" kati ya 2013 au 2014 kumbe upepo tu mkali vigorofa vya mkoloni vikayumbaaa....siku hiyo ilikua kama vita na alama kwny kidole mbaka leo ninayo kukimbizana kwny ngazi mle kushuka chini kila mtu anaokoa maisha yake.

Kama ingekua lile jengo kuanguka kweli siku ile ingekua noma snaa mana imagine chumba cha watu wanne mnalala zaidi ya 20 na ni kawaida kubebana na wengine magodoro yanawekwa chini ya uvungu wa kitanda. Usiku yanavutwa sakafuni watu walale.

Kama kulala kwa shifti hivi alooo😁😁na macbook yangu hata sikukumbuka huyo nikasepa ila haikupotea mana lile purukushani halikua la kawaida kila mtu alikua anataka kuokoa roho yake.

Hall II kule juu kabisa gorofani kulikua na kama kastoo hivi, basi wadau wengine walikua wanaishi kama chumba tu. Kushindia mikate na chai semista nzima kawaida tu na mtu anatoka na ufaulu mzuri kabisa wazee wa COET
Mzee siku tetemeko nilikuwepo. Ulikuwa ni upepo mkali kisha ikapiga radi kisha umeme ukakatika.

Nakumbuka tulihisi ghorofa limekatika yaan Sisi tulikuwa floor ya nane...

Tukaenda Chini. Baada ya shoruba kuisha wengine tukagoma kurudi juu

Kamanda wangu Kapachino
 
Kwa hiyo ww umesoma UDSM enzi hizo pale kituo cha basi kontena kulikuwa na Kontena??,umesoma UDSM ile kabla ya mti mdigrii haujapandwa??au ile UDSM ya msosi bure mboga bure???ulisoma UDSM ipi???UDSM ambayo ili uchaguliwe kusoma kozi fulani baada ya kuwa admited lazima upige pepa harafu unapita mchujo??😂😂😂

FoE, Contena liko unaliona.. Kunji lilifika Jamhuri Street Wizarani.
 
Bumu la 2500 mbona juzi juzi tu mkuu around early 2000's.

Field elfu 8 kwa siku.

Stationary 120,000/=

Miezi miwili unapewa 270,000/= (150,000 kwa siku 60 + Stationary 120,000/=)
Hahaha
mambo yamebadilika sana, shilingi imeporomoka mno
 
Mzee siku tetemeko nilikuwepo. Ulikuwa ni upepo mkali kisha ikapiga radi kisha umeme ukakatika.

Nakumbuka tulihisi ghorofa limekatika yaan Sisi tulikuwa floor ya nane...

Tukaenda Chini. Baada ya shoruba kuisha wengine tukagoma kurudi juu

Kamanda wangu Kapachino
Kumbu kumbu haikotoki we mzee
 
Sio poa mkuu ile siku siwezi isahau kabisaa. Ilikua ya kutisha sana

Back
Top Bottom