Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Hahaaa RB ulisikie linanukia uwe mfuko upo tofauti halafu unapiga UE pale Manzese. Unaiona supplementary hii hapaAsee RB, sisi tumekuta inauzwa 900/-
Shuttle pori ilikuwa muhimu sana. Lakini mtaani Msewe ilikuwa bata zaidi baada ya watu kuhamia mtaani mwaka wa pili.
Ila UDSM wanakula vichwa sana ase sitoisahau😂😂
Nimekumbuka mbali mnooo